Nimegundua kuna member humu anatembea na mke wangu, nitakachomfanya tusilaumiane

Una akili sana umehuisha maudhui ukabadilisha muktadha ukapita nayo , very easy content
 
Ungepata hata Abc s za usalama usingeandika , ungedeal nae kimya kimya.
 
Njoo inbox kka tumuwekee mikakati tumtumbue jicho
 
Teh! Yaani nimecheka utadhani mazuri😂

kuna Mwamba anaenda kufumuliwa ngozi muda si mrefu.
 
Wanaofanyiwa hivyo huwa hawana muda wa kuandika waraka namna hii, tungasikia mlio au kishindo cha malida yanafumuka tu!!
 
Pamoja na hayo, huyu jamaa ni wale wanaume marioo wanaopenda kulelewa kwani amekua akipewa pesa na mke wangu, pesa ambazo mimi nazitafuta kwa jasho na damu, yeye anazila kirahisi tu.[emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…