Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale Yale ya cherehani🤣🤣Nimegundua kuna member humu ndani anatembea na mke wangu kutokana na uzi aliouandika humu.
Uzi wenyewe ni huu Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza
Member alieandika huu uzi anatembea na mke wangu, na mke wangu amemdanganya vitu vingi sana kuhusu mimi na kumjaza maneno ya uongo, ikiwemo ya kwamba nilimkuta bikra.
Pamoja na hayo, huyu jamaa ni wale wanaume marioo wanaopenda kulelewa kwani amekua akipewa pesa na mke wangu, pesa ambazo mimi nazitafuta kwa jasho na damu, yeye anazila kirahisi tu. Nilishashtukia kuwa kuna mtu ananilia vyangu kutokana na mabadiliko ya tabia kwa mke wangu, pamoja na kuwa na matumizi makubwa ya pesa ninayompa bila maelezo ya kujitosheleza.
Leo nimehakikisha na kumjua mbaya wangu. Sitaki kuzungumzia mapungufu ya huyo mwanamke hapa, ila tu nawataarifu kuwa kwa nitakachomfanyia huyu jamaa tusije tukalaumiana kabisa.
Nitamuonyesha kuwa mali ya mwanaume hailiwi bure. Kinachokwenda kumpata atahadithia hadi wajukuu zake.
Nimemaliza.
Unaweza pia kusoma >> Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka
Tunaita. Mkwara mbuzi.mikwara ya aina hii imepitwa na wakati
Watu huwa hawaelewi mke wa mtu ni bomu, nina kisa kimoja cha jamaa aliekuwa anakula mke wa mtu. Jaman jamani aisee yule jamaa mwenye mke alichokifanya kwa mwizi wake ni fedheha na aibu hadi leo hii jamaa (mwizi) alishahama mkoa kwa aibu. Mwache huyo anaechukulia mzaha haelewi kinachowakuta wala wake za watuKwako wewe unaona ni mikwara, ila omba usikutwe na mke wa mtu, UTAKUFA, ukibahatika sana utakua kilema wa maisha. Kama huamini muulize dogo wa moshi aliyemwagiwa tindikali.
Unaona sasa..kumbe unaweza kutembea nae na akakujeuka ukapigwa tukio na kupoteza maisha. Hasara inakua ya kwako,Watu huwa hawaelewi mke wa mtu ni bomu, nina kisa kimoja cha jamaa aliekuwa anakula mke wa mtu. Jaman jamani aisee yule jamaa mwenye mke alichokifanya kwa mwizi wake ni fedheha na aibu hadi leo hii jamaa (mwizi) alishahama mkoa kwa aibu. Mwache huyo anaechukulia mzaha haelewi kinachowakuta wala wake za watu
Na kibaya zaidi mchoro wa kumkamatisha ulichorwa na mke...najua hamjaelewa yani mke na mume walikula colabo ili mwizi atiwe nyavuni. Kuna mjumbe mmoja kasema wanawake ni very manipulative naungana nae kwa 100%√.
Mkuu acha mbwembwe nilichozungumza ni tofauti na maelezo unayosema ni mke wakoNimegundua kuna member humu ndani anatembea na mke wangu kutokana na uzi aliouandika humu.
Uzi wenyewe ni huu Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza
Member alieandika huu uzi anatembea na mke wangu, na mke wangu amemdanganya vitu vingi sana kuhusu mimi na kumjaza maneno ya uongo, ikiwemo ya kwamba nilimkuta bikra.
Pamoja na hayo, huyu jamaa ni wale wanaume marioo wanaopenda kulelewa kwani amekua akipewa pesa na mke wangu, pesa ambazo mimi nazitafuta kwa jasho na damu, yeye anazila kirahisi tu. Nilishashtukia kuwa kuna mtu ananilia vyangu kutokana na mabadiliko ya tabia kwa mke wangu, pamoja na kuwa na matumizi makubwa ya pesa ninayompa bila maelezo ya kujitosheleza.
Leo nimehakikisha na kumjua mbaya wangu. Sitaki kuzungumzia mapungufu ya huyo mwanamke hapa, ila tu nawataarifu kuwa kwa nitakachomfanyia huyu jamaa tusije tukalaumiana kabisa.
Nitamuonyesha kuwa mali ya mwanaume hailiwi bure. Kinachokwenda kumpata atahadithia hadi wajukuu zake.
Nimemaliza.
Unaweza pia kusoma >> Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka
Mkuu, isije kuwa ni kweli watu wakauana.mikwara ya aina hii imepitwa na wakati
Baadhi ya wanawake ni hatari sana mkuu, huwezi amini huyo huyo mwanamke kamuuza mchepuko wake kwa mumewe.Unaona sasa..kumbe unaweza kutembea nae na akakujeuka ukapigwa tukio na kupoteza maisha. Hasara inakua ya kwako,
Tatizo lako umekuwa na maneno mengi sana sisi tunataka vitendoNimegundua kuna member humu ndani anatembea na mke wangu kutokana na uzi aliouandika humu.
Uzi wenyewe ni huu Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza
Member alieandika huu uzi anatembea na mke wangu, na mke wangu amemdanganya vitu vingi sana kuhusu mimi na kumjaza maneno ya uongo, ikiwemo ya kwamba nilimkuta bikra.
Pamoja na hayo, huyu jamaa ni wale wanaume marioo wanaopenda kulelewa kwani amekua akipewa pesa na mke wangu, pesa ambazo mimi nazitafuta kwa jasho na damu, yeye anazila kirahisi tu. Nilishashtukia kuwa kuna mtu ananilia vyangu kutokana na mabadiliko ya tabia kwa mke wangu, pamoja na kuwa na matumizi makubwa ya pesa ninayompa bila maelezo ya kujitosheleza.
Leo nimehakikisha na kumjua mbaya wangu. Sitaki kuzungumzia mapungufu ya huyo mwanamke hapa, ila tu nawataarifu kuwa kwa nitakachomfanyia huyu jamaa tusije tukalaumiana kabisa.
Nitamuonyesha kuwa mali ya mwanaume hailiwi bure. Kinachokwenda kumpata atahadithia hadi wajukuu zake.
Nimemaliza.
Unaweza pia kusoma >> Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka
🤣🤣🤣🤣🤣Kwanza ni kwanini ulimpiga mkeo mbele za watu??? Tuanzie hapo kwanza
Kama limke lako ni limalaya, hata ukimuua huyo jamaa Bado mkeo ataendelea tuu, tabia Haina dawa, Cha msingi ungeanza kudili na mkeo kwanza ndo urudi Kwa jamaa.Nimegundua kuna member humu ndani anatembea na mke wangu kutokana na uzi aliouandika humu.