Nimegundua kuna member humu anatembea na mke wangu, nitakachomfanya tusilaumiane

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yale Yale ya cherehani๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kwako wewe unaona ni mikwara, ila omba usikutwe na mke wa mtu, UTAKUFA, ukibahatika sana utakua kilema wa maisha. Kama huamini muulize dogo wa moshi aliyemwagiwa tindikali.
Watu huwa hawaelewi mke wa mtu ni bomu, nina kisa kimoja cha jamaa aliekuwa anakula mke wa mtu. Jaman jamani aisee yule jamaa mwenye mke alichokifanya kwa mwizi wake ni fedheha na aibu hadi leo hii jamaa (mwizi) alishahama mkoa kwa aibu. Mwache huyo anaechukulia mzaha haelewi kinachowakuta wala wake za watu

Na kibaya zaidi mchoro wa kumkamatisha ulichorwa na mke...najua hamjaelewa yani mke na mume walikula colabo ili mwizi atiwe nyavuni. Kuna mjumbe mmoja kasema wanawake ni very manipulative naungana nae kwa 100%โˆš.
 
Unaona sasa..kumbe unaweza kutembea nae na akakujeuka ukapigwa tukio na kupoteza maisha. Hasara inakua ya kwako,
 
Mkuu acha mbwembwe nilichozungumza ni tofauti na maelezo unayosema ni mke wako
 
Jamani msichukulie poa hata kidogo haya mambo, mnaweza kudhania ni utani kumbe ishu iko sirias afu badae jamaa akakinukisha adi mtaa wa 7 tukabaki na lahaula tungejua tungemtonya jamaa achimbe mbali, mke anauma nyieee[emoji7]
 
Unaona sasa..kumbe unaweza kutembea nae na akakujeuka ukapigwa tukio na kupoteza maisha. Hasara inakua ya kwako,
Baadhi ya wanawake ni hatari sana mkuu, huwezi amini huyo huyo mwanamke kamuuza mchepuko wake kwa mumewe.
 
Tatizo lako umekuwa na maneno mengi sana sisi tunataka vitendo
 
Kama limke lako ni limalaya, hata ukimuua huyo jamaa Bado mkeo ataendelea tuu, tabia Haina dawa, Cha msingi ungeanza kudili na mkeo kwanza ndo urudi Kwa jamaa.

Pia huyo kicheche wako mkeo, mchunguze sana kama marinda yapo shukuru sana, maana wengi wa wanawake wanaoliwa nje ya ndoa zao ndo michezo Yao ya kugeuzwa nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ