Nimegundua kuna member humu anatembea na mke wangu, nitakachomfanya tusilaumiane

Ni
aibu sana mwanaume kugombea mwanamke.. Ni fedheha sana mwanaume kuvurugwa akili na mwanamke..
 
Sasa usha t%mbewa mke hapa una lia lia nini , hebu imagine vile ana chanua miguu mwamba ana kipitisha
 
Mke anauma mno. Yani nakwambiaje ukimdaba mbabubue haswa na umbandue ww mwenyewe. Hakikisha hauachi ushahidi wwte
 
hapa naotea kuna kifiro kitajitokeza
 
Leo nimehakikisha na kumjua mbaya wangu. Sitaki kuzungumzia mapungufu ya huyo mwanamke hapa, ila tu nawataarifu kuwa kwa nitakachomfanyia huyu jamaa tusije tukalaumiana kabisa.
Kuwa makini unapofanya maamuzi ya hasira, kumbuka hasira ni hasara
 
Jiulize tu ukishamfanyia ubaya utapata faida gani au ndio unahisi huyo Malaya wako atajirekebisha. Matatizo yetu ya kutoridhishana mnataka kuharibia watu maisha Yao.
Mkuu ushavuliwa nguo kwa hekima we chutama.
 
Imagine unatoa huu mkwara mbyzi afu anatokea mtu anaefanya kweli unajiingiza kwa matatizo kwa kujifanya we ndio wewe. Pole Sana bro
 
Jiulize tu ukishamfanyia ubaya utapata faida gani au ndio unahisi huyo Malaya wako atajirekebisha. Matatizo yetu ya kutoridhishana mnataka kuharibia watu maisha Yao.
Mkuu ushavuliwa nguo kwa hekima we chutama.
Na kwa nini ule mke wa mtu ?


Kila siku tunawakanya hivi vitu ni real ukishikwa lazima ufanyiwe unyama

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga dili na mkeo kwanini anachepuka?

Huyo marioo kafanyaje? Anamakosa gani kumla mkeo? Mimi sioni kosa lake hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…