Nimegundua kuna member humu anatembea na mke wangu, nitakachomfanya tusilaumiane


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah haya kila la heri mkuu
 
Hali hii mpk mwanamke anakucheat ni mzoefu tambua kua umeishiwa kama unatatizo la kiafya ktk uzazi unawai kumaliza mzee waone wataalamu +255686282545 WhatsApp wakusaidie maana hili wimbi sasa linawakumba wengi kutokana na vyakula tunavyo kula
 
Mwanamke Kama haeleweki achana nae,
 
Mzee hangaika na mkeo..she is the problem.

Mke anaejiheshimu hawezi kubali kutongozwa.
 
Siri ilifichuka alipoandika hiki kipande

Vitu alivyokuwa akaniambia yule Manzi dah inanifanya sometimes nisiamini cos yule Mumewe alivyo, ukwasi alionao inakuwa ngumu kuamini ni kaja kuamini siku ambapo huyo manzi alivyonialika kwao pamoja na marafiki zake siku ya christmas ambapo Mumewe alikuwa gafla bila taarifa na tukawa nae pale wakati wa chakula yule Manzi akawa atupelekea chakula bahati mbaya akadondoka na chakula alichokibeba kikadondoka na alichunika kidogo kwenye vidole vyake damu zikaanza kutoka cha ajabu yule Mumewe akaenda kumuwasha makofi mengi na kuanza kusema sisi wengine wote tunamshuhudia Tena si kwake kwa mama mkwe wake anafanya hivyo je angekuwa kwake ingekuaje?
 
Mchapiwa alimfanya nn mchapia?
 
Ukiicheki account 2019 halafu ina posts kama 25, huyu jamaa naona kweli itakuwa kapigiwa.
 
Unatumia IDs zako zote ku ji promote. Safi sana dogo.
 
Andaa Milion 1 tu, Wahuni wamshone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…