Nimegundua kuna utofauti mkubwa wa upeo wa kufikiri kati ya wafuasi wa Lissu na Mbowe

watu wa mbowe hawakujiandaa kwa upinzani ndo maana kama wamepaniki hivi, badala ya kutoa sera za atakayoyafanya mbowe kama akichaguliwa, wanaishia kutaja mambo aliyofanya mbowe zamani.
wakat upande wa lissu unatoka na ilani/sera zao, wanatoka na takwimu hai.. inaonesha lissu alikua makini kuchagua team ya kisomi wakati mbowe kachagua team ya kipambe
 
Hawakudhan kutakuja ibuka upinzani mkubwa hivi, wanafanya damage control sera hawazisemi
Mbowe angekuwa wise for the past 10 yrs angekuwa amesha andaa his succesor haya yasingemkuta
Ila sababu ame make deal na gov behind the scene, ndio haya mambo yanamkuta
 
Ukimsikiliza Wenje leo alipokuwa akihojiwa BBC utagundua hilo. Wenje hana kitu kabisa kichwani.
Wenje ni mjinga balaa sasa pata picha Mbowe ni division zero mzee wa masimango wakipewa chama kitakuwaje? Wenje ni Dalali ni Mbowe ni mwizi wa pesa za chama
 
Ukimsikiliza Wenje leo alipokuwa akihojiwa BBC utagundua hilo. Wenje hana kitu kabisa kichwani.
Hata Lissu mwenyewe na Mbowe wana tofauti kubwa.

Mwezi uliopita nafikiri kuna press conference walifanya CHADEMA.

Just before Lissu kutangaza kuwania Uenyekiti wa CHADEMA. Alianza kuongea Mbowe, akafuatia Lissu.

The difference was so vivid. Mbowe anaongea boilerplate platitudes na banal appeals to emotion in a disappointing way.

Akaja Lissu anaongea in numbered points format akiunganisha maneno yake na core principles.

Nikasema Lissu possibly kusoma sheria imemsaidia zaidi kuongezea his natural ability, in a way that you can see the difference between him and Mbowe.
 
Mbowe ni mwizi wa pesa za chama anaogopa kuachia uongozi kwani mwenyekiti mpya atampeleka jela kwa ufisadi wake anatumia pesa nyingi kuununua uenyekiti
 
Hata Lissu mwenyewe na Mbowe wana tofauti kubwa.

Mwezi uliopita nafikiri kuna press conference walifanya CHADEMA.

Just before Lissu kutangaza kuwania Uenyekiti wa CHADEMA. Alianza kuongea Mbowe, akafuatia Lissu.

The difference was so vivid. Mbowe anaongea boilerplate platitudes na banal appeals to emotion in a disappointing way.

Akaja Lissu anaongea in numbered points format akiunganisha maneno yake na core principles.

Nikasema Lissu possibly kusoma sheria imemsaidia zaidi kuongezea his natural ability, in a way that you can see the difference between him and Mbowe.

..vipi ukimlinganisha Lissu na Mama Abduli?

..mmoja kaandika hotuba yake mwenyewe, mwingine kaandikiwa na wataalam.
 
Hata Lissu mwenyewe na Mbowe wana tofauti kubwa.

Mwezi uliopita nafikiri kuna press conference walifanya CHADEMA.

Just before Lissu kutangaza kuwania Uenyekiti wa CHADEMA. Alianza kuongea Mbowe, akafuatia Lissu.

The difference was so vivid. Mbowe anaongea boilerplate platitudes na banal appeals to emotion in a disappointing way.

Akaja Lissu anaongea in numbered points format akiunganisha maneno yake na core principles.

Nikasema Lissu possibly kusoma sheria imemsaidia zaidi kuongezea his natural ability, in a way that you can see the difference between him and Mbowe.
Ile Jf ya zamani Mbowe alikuwa anachambuliwa vizuri na wala hakukuwaga na ubishi kuhusu Mbowe ni mtu wa aina gani...baadae chama kilivyopata wafuasi wapya ndo wakawa wanamuweka sehemu ambayo 'sio yake' kiushabiki...until now ndo wanaanza kuamka upya
 
Mbowe ujanja wake ni kujifanya mwanadiplomasia, mzee wa busara, mtu wa kuongea kwa mapozi, anayechagua sana pa kusema.

Ukimuweka katika debate mode kama sasa anavyoenda na Lissu ndiyo anachemka na habari za "mimi tajiri...".
 
Back
Top Bottom