Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakudhan kutakuja ibuka upinzani mkubwa hivi, wanafanya damage control sera hawazisemiwatu wa mbowe hawakujiandaa kwa upinzani ndo maana kama wamepaniki hivi, badala ya kutoa sera za atakayoyafanya mbowe kama akichaguliwa, wanaishia kutaja mambo aliyofanya mbowe zamani.
wakat upande wa lissu unatoka na ilani/sera zao, wanatoka na takwimu hai.. inaonesha lissu alikua makini kuchagua team ya kisomi wakati mbowe kachagua team ya kipambe
Wenje ni mjinga balaa sasa pata picha Mbowe ni division zero mzee wa masimango wakipewa chama kitakuwaje? Wenje ni Dalali ni Mbowe ni mwizi wa pesa za chamaUkimsikiliza Wenje leo alipokuwa akihojiwa BBC utagundua hilo. Wenje hana kitu kabisa kichwani.
Mbowe kazungukwa na mazezeta yanayokula pesa zake alizoiba hazina ya chademaWenje na Yericko kama wanamchafua mbowe
Hata Lissu mwenyewe na Mbowe wana tofauti kubwa.Ukimsikiliza Wenje leo alipokuwa akihojiwa BBC utagundua hilo. Wenje hana kitu kabisa kichwani.
Ukimsikiliza Wenje leo alipokuwa akihojiwa BBC utagundua hilo. Wenje hana kitu kabisa kichwani.
Hata Lissu mwenyewe na Mbowe wana tofauti kubwa.
Mwezi uliopita nafikiri kuna press conference walifanya CHADEMA.
Just before Lissu kutangaza kuwania Uenyekiti wa CHADEMA. Alianza kuongea Mbowe, akafuatia Lissu.
The difference was so vivid. Mbowe anaongea boilerplate platitudes na banal appeals to emotion in a disappointing way.
Akaja Lissu anaongea in numbered points format akiunganisha maneno yake na core principles.
Nikasema Lissu possibly kusoma sheria imemsaidia zaidi kuongezea his natural ability, in a way that you can see the difference between him and Mbowe.
Ile Jf ya zamani Mbowe alikuwa anachambuliwa vizuri na wala hakukuwaga na ubishi kuhusu Mbowe ni mtu wa aina gani...baadae chama kilivyopata wafuasi wapya ndo wakawa wanamuweka sehemu ambayo 'sio yake' kiushabiki...until now ndo wanaanza kuamka upyaHata Lissu mwenyewe na Mbowe wana tofauti kubwa.
Mwezi uliopita nafikiri kuna press conference walifanya CHADEMA.
Just before Lissu kutangaza kuwania Uenyekiti wa CHADEMA. Alianza kuongea Mbowe, akafuatia Lissu.
The difference was so vivid. Mbowe anaongea boilerplate platitudes na banal appeals to emotion in a disappointing way.
Akaja Lissu anaongea in numbered points format akiunganisha maneno yake na core principles.
Nikasema Lissu possibly kusoma sheria imemsaidia zaidi kuongezea his natural ability, in a way that you can see the difference between him and Mbowe.
Mama Abdul analinganishwa na Hadija Kopa, si na Lissu...vipi ukimlinganisha Lissu na Mama Abduli?
..mmoja kaandika hotuba yake mwenyewe, mwingine kaandikiwa na wataalam.
Mbowe ujanja wake ni kujifanya mwanadiplomasia, mzee wa busara, mtu wa kuongea kwa mapozi, anayechagua sana pa kusema.Ile Jf ya zamani Mbowe alikuwa anachambuliwa vizuri na wala hakukuwaga na ubishi kuhusu Mbowe ni mtu wa aina gani...baadae chama kilivyopata wafuasi wapya ndo wakawa wanamuweka sehemu ambayo 'sio yake' kiushabiki...until now ndo wanaanza kuamka upya