mbona umeuandika??🙄Mungu wangu..!
Huo mwandiko wa x x na 'm2' siupendi kama nini sijui..! Red Giant 'kabixa' ni nini katika ulimwengu wetu wa teknolojia eti.?
Acha tu mkuu. Kuna kabinti kaliniandikia hivyo, nikachukia, nikasema ngoja na mimi nikaudhi wadau.😀😀Mungu wangu..!
Huo mwandiko wa x x na 'm2' siupendi kama nini sijui..! Red Giant 'kabixa' ni nini katika ulimwengu wetu wa teknolojia eti.?
Sawa mkuu ngoja niifute aisee...@The Wolf hii lugha inaumiza macho sana.
Shule zimefungwa na vyuoni bado shule haijachachamaaMungu wangu..!