mbona umeuandika??πMungu wangu..!
Huo mwandiko wa x x na 'm2' siupendi kama nini sijui..! Red Giant 'kabixa' ni nini katika ulimwengu wetu wa teknolojia eti.?
Acha tu mkuu. Kuna kabinti kaliniandikia hivyo, nikachukia, nikasema ngoja na mimi nikaudhi wadau.ππMungu wangu..!
Huo mwandiko wa x x na 'm2' siupendi kama nini sijui..! Red Giant 'kabixa' ni nini katika ulimwengu wetu wa teknolojia eti.?
Sawa mkuu ngoja niifute aisee...@The Wolf hii lugha inaumiza macho sana.
Shule zimefungwa na vyuoni bado shule haijachachamaaMungu wangu..!