Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Sio ubinafsi ni ubahili,na bila ubahili maendeleo hayawezi kuwepoYes wanajua jinsi ya kupangilia matumizi. Tatizo lao ni wabinafsi.
Shida ndio iko hapo.. japo si wote.
mkuu kumbuka wenzetu wameumbwa kupokea kutoka kwetuBaadhi sio wote. Wengine ela zao hazieleweki zinaenda wapi
hapana, natumia colorlessYale ya dhahabu?
Lazima ni vile vifurushi vilivyofungiwahapana, natumia colorless
huo ubinafsi ndo unawasaidia sasaYes wanajua jinsi ya kupangilia matumizi. Tatizo lao ni wabinafsi.
Shida ndio iko hapo.. japo si wote.
Nakaziahuo ubinafsi ndo unawasaidia sasa
acha hizo shem,, situmii kilevi chochote zaidi ya soccer uwanjani,, na kuunganisha mpira wavuniLazima ni vile vifurushi vilivyofungiwa
Unamshinda bby wangu?acha hizo shem,, situmii kilevi chochote zaidi ya soccer uwanjani,, na kuunganisha mpira wavuni
Anaziweka akiwa na malengo,hawezi weka pesa bila malengo,siku jifanye umekwama huna kitu uone kama hamtakula.By the way bajeti ya nyumbani ni majukumu yako pia,usilalamikeHawana matumizi , maana kila kitu wananunuliwa tu,
Utaowa mke anafanya kazi nanwewe unafanya kazi, wote mnapata mshahara, lakini kila mwisho wa mwezi bajeti ya nyumbani pesa zinatumika zako mwanaume, za mwanamke anaziweka tu na wakati mwingine nauri ya kwenda kazini bado unampa, hapo unatarajia nini?
huyo hazard kwangu anasugua benchUnamshinda bby wangu?
Wanaweka benkiBaadhi sio wote. Wengine ela zao hazieleweki zinaenda wapi
Weeeeeeeweeeeee nadhani humjui vizuri,jamaa soccer limelala pale,no one like him....ningemuita hapa sema kapewa ban jaman[emoji22] [emoji22]huyo hazard kwangu anasugua bench
mzee baba waliumbwa ivo, Mungu alikuwa anamaana sana kuwaumba ivo,,Hawana matumizi , maana kila kitu wananunuliwa tu,
Utaowa mke anafanya kazi nanwewe unafanya kazi, wote mnapata mshahara, lakini kila mwisho wa mwezi bajeti ya nyumbani pesa zinatumika zako mwanaume, za mwanamke anaziweka tu na wakati mwingine nauri ya kwenda kazini bado unampa, hapo unatarajia nini?
loh, sie wazee wa mpira tunaita kala WAYA sio BAN,,Weeeeeeeweeeeee nadhani humjui vizuri,jamaa soccer limelala pale,no one like him....ningemuita hapa sema kapewa ban jaman[emoji22] [emoji22]
kibubuWanaweka benki
Oooh basi kala waya,kavuruga mjadala.Kesho atakuwepo hapaloh, sie wazee wa mpira tunaita kala WAYA sio BAN,,
alifanya nn naye?
Kibubu hakiaminiki...kibubu