Nimegundua kuwa Wanawake wana akili ya kutumia pesa vizuri kuliko sisi

Hawana matumizi , maana kila kitu wananunuliwa tu,

Utaowa mke anafanya kazi nanwewe unafanya kazi, wote mnapata mshahara, lakini kila mwisho wa mwezi bajeti ya nyumbani pesa zinatumika zako mwanaume, za mwanamke anaziweka tu na wakati mwingine nauri ya kwenda kazini bado unampa, hapo unatarajia nini?
 
Kama huyu
tapatalk_1524941692789.jpeg
 
Hawana matumizi , maana kila kitu wananunuliwa tu,

Utaowa mke anafanya kazi nanwewe unafanya kazi, wote mnapata mshahara, lakini kila mwisho wa mwezi bajeti ya nyumbani pesa zinatumika zako mwanaume, za mwanamke anaziweka tu na wakati mwingine nauri ya kwenda kazini bado unampa, hapo unatarajia nini?
Anaziweka akiwa na malengo,hawezi weka pesa bila malengo,siku jifanye umekwama huna kitu uone kama hamtakula.By the way bajeti ya nyumbani ni majukumu yako pia,usilalamike
 
Hawana matumizi , maana kila kitu wananunuliwa tu,

Utaowa mke anafanya kazi nanwewe unafanya kazi, wote mnapata mshahara, lakini kila mwisho wa mwezi bajeti ya nyumbani pesa zinatumika zako mwanaume, za mwanamke anaziweka tu na wakati mwingine nauri ya kwenda kazini bado unampa, hapo unatarajia nini?
mzee baba waliumbwa ivo, Mungu alikuwa anamaana sana kuwaumba ivo,,

pale umeoa mke sio mshahara

jukumu lako kumpa chochote
 
Back
Top Bottom