Nimegundua kuwa Wanawake wana akili ya kutumia pesa vizuri kuliko sisi

Wanachojua wanawake wengi (sio wote) ni kufanya bajeti ya maana nyumbani.

Wewe unaweza kwenda kutumia labda 20k kwa kula chakula cha 6k na nyingine ukanywa beer hela ikaisha chap na bado hujaonga

Ila ukimpa mwanamke hiyo 20k nyumbani anaweza kununua chakula cha kuliwa mara 3 au 4 na watoto.

Ndio maana namshukuru rafiki yangu Sadick kwa kunijuza kuwa ukishaoa gharama ya maisha inapungua kuliko kutokuoa.
Gharama inapungua kivipi wakati majukumu yanaongezeka?
Kabla ya kuoa
-nakula si zaidi ya 10,000/- kwa siku kila kitu
-mafuta ya gari 10,000 kwa
-luku 25,000/- kwa mwezi(muda mwingi haupo nyumbani hamna mtu)
Ukioa
-nakula 10,000 kwa siku jumlisha chakula cha home
-mafuta ya gari 10,000 jumlisha mafuta ya wife
-luku ita double nyumbani kutakuwa na dada wa kusaidia kwasababu wote tunafanya kazi
-mshahara wa dada nyumbani
-wakiongezeka watoto hapo ni suala lingine.

Irresponsible man ndio ana gharama kubwa akiwa single, kama uko responsible gharama zinapungua sana.
 
sawa mzee pogba[emoji23]
 
Huu mchanganuo umekaa kibinafsi sana.
 
Hawana matumizi , maana kila kitu wananunuliwa tu,

Utaowa mke anafanya kazi nanwewe unafanya kazi, wote mnapata mshahara, lakini kila mwisho wa mwezi bajeti ya nyumbani pesa zinatumika zako mwanaume, za mwanamke anaziweka tu na wakati mwingine nauri ya kwenda kazini bado unampa, hapo unatarajia nini?
By nature wanaume sisi ni wahongaji ndio maana tunahonga hata wake zetu.
 
Tuwapende sana ikibidi tuwaombe ushauri sana wa kimaisha,, tusikae sana mbele yao,, tuwashirikishe sana ktk mipango yetu,, tusiwadharau kabisa,

Na kule kujiuza mitandaoni? Si wanawake wote wako hivi, ni wachache sana tena hata 10 hapa duniani hawafikii.
 
Gharama inapungua kivipi wakati majukumu yanaongezeka?
Kabla ya kuoa
-nakula si zaidi ya 10,000/- kwa siku kila kitu
-mafuta ya gari 10,000 kwa
-luku 25,000/- kwa mwezi(muda mwingi haupo nyumbani hamna mtu)
Ukioa
-nakula 10,000 kwa siku jumlisha chakula cha home
-mafuta ya gari 10,000 jumlisha mafuta ya wife
-luku ita double nyumbani kutakuwa na dada wa kusaidia kwasababu wote tunafanya kazi
-mshahara wa dada nyumbani
-wakiongezeka watoto hapo ni suala lingine.

Irresponsible man ndio ana gharama kubwa akiwa single, kama uko responsible gharama zinapungua sana.
Gharama za maisha zitaongezeka ukioa kutokana na nature ya familia yako pamoja na mpishano wa matumizi

Kwa mfano, ukiwa una excess expenditure mfano kunywa pombe na labda kununulia washkaji, kuhonga n.k

Suala la kuwa na binti wa kazi (housegirl) sio lazima...na sijui ni kwa nini umeliweka hapo kama vile ni lazima....wakati watu wengi wanaweka mabinti wa kazi kwasababu ya mazoea au kuiga na sio kwasbb ya kuzidiwa majukumu.
 
Ndio maana na mimi nimekwambia ukioa gharama zinaongezeka hata usipoweka dada wa kazi. Ukiwa mwenyewe and responsible gharama ni nusu. Kama unazungumzia wahongaji,walevi hata waliooa wapo wahongaji na walevi infact waliooa wengi ndio wahongaji wazuri kwasabavu hata mwanamke anajua huyu ana mwenyewe kwahio anaangalia benefits tu.
If u are responsible money-wise you are better pff single.
 
Hawana matumizi , maana kila kitu wananunuliwa tu,

Utaowa mke anafanya kazi nanwewe unafanya kazi, wote mnapata mshahara, lakini kila mwisho wa mwezi bajeti ya nyumbani pesa zinatumika zako mwanaume, za mwanamke anaziweka tu na wakati mwingine nauri ya kwenda kazini bado unampa, hapo unatarajia nini?
Sasa mke kama huyu gharama zako za matumizi zinapungua au zinaongezeka?
 
Back
Top Bottom