1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #61
nakubali hakuna palipoandikwa ila ufahamu mwanamke ni kumtunzaHamna sehemu imeandikwa hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakubali hakuna palipoandikwa ila ufahamu mwanamke ni kumtunzaHamna sehemu imeandikwa hivyo
Gharama inapungua kivipi wakati majukumu yanaongezeka?Wanachojua wanawake wengi (sio wote) ni kufanya bajeti ya maana nyumbani.
Wewe unaweza kwenda kutumia labda 20k kwa kula chakula cha 6k na nyingine ukanywa beer hela ikaisha chap na bado hujaonga
Ila ukimpa mwanamke hiyo 20k nyumbani anaweza kununua chakula cha kuliwa mara 3 au 4 na watoto.
Ndio maana namshukuru rafiki yangu Sadick kwa kunijuza kuwa ukishaoa gharama ya maisha inapungua kuliko kutokuoa.
Basi mnavimbaa kusifiwa. [emoji16][emoji16][emoji16]Kunywa soda hapo shemeji angu nakuja kulipa
sawa mzee pogba[emoji23]Gharama inapungua kivipi wakati majukumu yanaongezeka?
Kabla ya kuoa
-nakula si zaidi ya 10,000/- kwa siku kila kitu
-mafuta ya gari 10,000 kwa
-luku 25,000/- kwa mwezi(muda mwingi haupo nyumbani hamna mtu)
Ukioa
-nakula 10,000 kwa siku jumlisha chakula cha home
-mafuta ya gari 10,000 jumlisha mafuta ya wife
-luku ita double nyumbani kutakuwa na dada wa kusaidia kwasababu wote tunafanya kazi
-mshahara wa dada nyumbani
-wakiongezeka watoto hapo ni suala lingine.
Irresponsible man ndio ana gharama kubwa akiwa single, kama uko responsible gharama zinapungua sana.
Huu mchanganuo umekaa kibinafsi sana.Gharama inapungua kivipi wakati majukumu yanaongezeka?
Kabla ya kuoa
-nakula si zaidi ya 10,000/- kwa siku kila kitu
-mafuta ya gari 10,000 kwa
-luku 25,000/- kwa mwezi(muda mwingi haupo nyumbani hamna mtu)
Ukioa
-nakula 10,000 kwa siku jumlisha chakula cha home
-mafuta ya gari 10,000 jumlisha mafuta ya wife
-luku ita double nyumbani kutakuwa na dada wa kusaidia kwasababu wote tunafanya kazi
-mshahara wa dada nyumbani
-wakiongezeka watoto hapo ni suala lingine.
Irresponsible man ndio ana gharama kubwa akiwa single, kama uko responsible gharama zinapungua sana.
By nature wanaume sisi ni wahongaji ndio maana tunahonga hata wake zetu.Hawana matumizi , maana kila kitu wananunuliwa tu,
Utaowa mke anafanya kazi nanwewe unafanya kazi, wote mnapata mshahara, lakini kila mwisho wa mwezi bajeti ya nyumbani pesa zinatumika zako mwanaume, za mwanamke anaziweka tu na wakati mwingine nauri ya kwenda kazini bado unampa, hapo unatarajia nini?
hii dunia mzee baba.Hata ulichogundua hujakijua bado
Tuwapende sana ikibidi tuwaombe ushauri sana wa kimaisha,, tusikae sana mbele yao,, tuwashirikishe sana ktk mipango yetu,, tusiwadharau kabisa,
Gharama za maisha zitaongezeka ukioa kutokana na nature ya familia yako pamoja na mpishano wa matumiziGharama inapungua kivipi wakati majukumu yanaongezeka?
Kabla ya kuoa
-nakula si zaidi ya 10,000/- kwa siku kila kitu
-mafuta ya gari 10,000 kwa
-luku 25,000/- kwa mwezi(muda mwingi haupo nyumbani hamna mtu)
Ukioa
-nakula 10,000 kwa siku jumlisha chakula cha home
-mafuta ya gari 10,000 jumlisha mafuta ya wife
-luku ita double nyumbani kutakuwa na dada wa kusaidia kwasababu wote tunafanya kazi
-mshahara wa dada nyumbani
-wakiongezeka watoto hapo ni suala lingine.
Irresponsible man ndio ana gharama kubwa akiwa single, kama uko responsible gharama zinapungua sana.
Kiukweli mm kwenye kupanga ratiba za nyumban niko vizur sana ila nje ya home sjui kutumia pesaaaaaDemiss njoo utoe ushuhuda
Ndio maana na mimi nimekwambia ukioa gharama zinaongezeka hata usipoweka dada wa kazi. Ukiwa mwenyewe and responsible gharama ni nusu. Kama unazungumzia wahongaji,walevi hata waliooa wapo wahongaji na walevi infact waliooa wengi ndio wahongaji wazuri kwasabavu hata mwanamke anajua huyu ana mwenyewe kwahio anaangalia benefits tu.Gharama za maisha zitaongezeka ukioa kutokana na nature ya familia yako pamoja na mpishano wa matumizi
Kwa mfano, ukiwa una excess expenditure mfano kunywa pombe na labda kununulia washkaji, kuhonga n.k
Suala la kuwa na binti wa kazi (housegirl) sio lazima...na sijui ni kwa nini umeliweka hapo kama vile ni lazima....wakati watu wengi wanaweka mabinti wa kazi kwasababu ya mazoea au kuiga na sio kwasbb ya kuzidiwa majukumu.
Kama huna akili ni kweli mke MWENYE AKILI atakusaidia.Kweli kabisa mke anaakili sana ya pesa hii imenisaidia sana
Sasa mke kama huyu gharama zako za matumizi zinapungua au zinaongezeka?Hawana matumizi , maana kila kitu wananunuliwa tu,
Utaowa mke anafanya kazi nanwewe unafanya kazi, wote mnapata mshahara, lakini kila mwisho wa mwezi bajeti ya nyumbani pesa zinatumika zako mwanaume, za mwanamke anaziweka tu na wakati mwingine nauri ya kwenda kazini bado unampa, hapo unatarajia nini?
jidanganye mkuu,Na kule kujiuza mitandaoni? Si wanawake wote wako hivi, ni wachache sana tena hata 10 hapa duniani hawafikii.
hongera mkuuKweli kabisa mke anaakili sana ya pesa hii imenisaidia sana
kabisa dadaNi kweli kaka wala haujakosea