1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Tuwapende sana ikibidi tuwaombe ushauri sana wa kimaisha,, tusikae sana mbele yao,, tuwashirikishe sana ktk mipango yetu,, tusiwadharau kabisa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi karibuni Mr.umegundua lini chief?
Okay, vizuri....japo sio wote.hivi karibuni Mr.
mwanzo nlikuwa mtata sana,, ila kwa sasa nawakubari sanaPole kama ndio unalijua leo hilo
kweli, ila asilimia kubwa wanauwezo wa kubajet pesaOkay, vizuri....japo sio wote.
[emoji16] [emoji23] nawapongeza sana, mtusimamie na mtutie moyoTunapopika mchicha na utumbo
Kabichi na nyama
Msifikiri tunapenda ni kuongeza mboga ili wote washibe
eeeKumbe?
hahahahah [emoji16] nimekuelewa mkuuhaswa wanawake walio kwisha zaa,wanapata akili zaidi ya kutumia Pesa,wanajua kuna mtoto pia lazima aangaliwe vizuri,sio hao wakutumia nywele tu laki kadhaa
Sawa mkuu
situmii soda, naagiza maji mengiiKunywa soda hapo shemeji angu nakuja kulipa
Yale ya dhahabu?situmii soda, naagiza maji mengii