Mjane my frnd. Kafiwa na mmeNi utamaduni wa muda mrefu katika kabila la wahaya kunyoa nywele zao tena wengine kipara kabisa kama watu wafuatao wakifiwa
Mjane
Watoto wa marehemu
Ndugu wa damu mtu akitaka
lakini hasahasa akiwa mkewe na ndugu yaani kaka au dada wa marehemu pale mda wa kuanua matanga unapokwisha
Turudi Kwa Nandi huyu naye amenyoa Una maana alikuwa na uhusiano gani Kwa boss Ruge? Au ni mjane wake? Aa kumbe inawezekana ikawa kweli
Pole Sana nandy Kwa kupoteza Mme wakoView attachment 1057525
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan huyo Na baraka the prince hawana tofaut kabsa wanaongea kama wanaharaYan billnas anamajungu sana huyu Dogo
Mpaka anakera!
Mtu ushaachana nae na anamaisha mengine na wewe una maisha yako kwanini unamshambulia kwa maneno ya karaha?
Aaarghh! Unakuwa kama limbuken wa Mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Relax mkuu, nadhani wana utaniYan billnas anamajungu sana huyu Dogo
Mpaka anakera!
Mtu ushaachana nae na anamaisha mengine na wewe una maisha yako kwanini unamshambulia kwa maneno ya karaha?
Aaarghh! Unakuwa kama limbuken wa Mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa watu wanavyotokwa povuBill nas ni mtu wa masihara tu. Wala msichukulie serious
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.