Nimegundua Kwa nini nandy kanyoa nywele

Nimegundua Kwa nini nandy kanyoa nywele

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
12,037
Reaction score
17,212
Ni utamaduni wa muda mrefu katika kabila la wahaya kunyoa nywele zao tena wengine kipara kabisa kama watu wafuatao wakifiwa

Mjane
Watoto wa marehemu
Ndugu wa damu mtu akitaka
lakini hasahasa akiwa mkewe na ndugu yaani kaka au dada wa marehemu pale mda wa kuanua matanga unapokwisha

Turudi Kwa Nandi huyu naye amenyoa Una maana alikuwa na uhusiano gani Kwa boss Ruge? Au ni mjane wake? Aa kumbe inawezekana ikawa kweli
Pole Sana nandy Kwa kupoteza Mme wako
tapatalk_1553835395708.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hmm

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ni utamaduni wa muda mrefu katika kabila la wahaya kunyoa nywele zao tena wengine kipara kabisa kama watu wafuatao wakifiwa

Mjane
Watoto wa marehemu
Ndugu wa damu mtu akitaka
lakini hasahasa akiwa mkewe na ndugu yaani kaka au dada wa marehemu pale mda wa kuanua matanga unapokwisha

Turudi Kwa Nandi huyu naye amenyoa Una maana alikuwa na uhusiano gani Kwa boss Ruge? Au ni mjane wake? Aa kumbe inawezekana ikawa kweli
Pole Sana nandy Kwa kupoteza Mme wakoView attachment 1057525

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjane my frnd. Kafiwa na mme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeangalia kwa zama,mtoto wa R wa kike hajanyoa nywele ila nandy aiseee huyu binti ana maombolezo ya aina yake,aliishiwa nguvu msibani leo kanyoa, full vichupi. Wajane wa siku hizi wa mwendokasi

Anyway arobaini tayari au bado?
 
Back
Top Bottom