Nimegundua kwamba jirani yangu mchicha mwiba

Naye alikuwa na element za kigay?

 
Au inawezekana kapigwa yeye Jamaa Labda alikuwa anamvuta aingie kwenye kilengeo
Jamaa nikianza reflect ukikaa naye anavyo behave sina shaga ndiye shoga.
Anapenda kung'ata lips ya chini, kuna sometimes anarusja rusha vidole akiwa anaongea kama wakina dada, halafu kuna kivoice note dogo alimrekodi wakati anamlilia amebana sauti ka demu anamwambia dogo kwanini anakataa anamuumiza asimfanyie hvyo asiondoke yani it is soo disgusting..
 
Yani nahisi ndivyo walivyo jamaa anajikuta ana roho nzuri sana.
Huyo dogo ana simu ya kitorch kila siku alikuwa anamwambia ntakununulia smart phone sijui hiyo tv yangu nimeichoka kama waitaka kaichukue.
Yani yana style ya kuwanasa watu
 
Ipo Sana hii siku izi,me Kuna mijamaa Kama mitatu ishanifata insta dm inataka kusuguliwa
Nkawaambia hiyo kwangu Haram kubwa siwezi ata iweje,eti ipo sorry Yani tupo ivi ila eti Tanzania wanapata shida sana kupata wa kuwashughulikia dah
 
Aisee ikiwezekana hama hapo,hao jamaa huwa hawakati tamaa unaweza jikuta unaingia king hivi hivi.
Kuna sehemu alikotoka uwa anasema kuna mambo yalitokea ikabidi aondoke pale aache hata kodi sasa nimeanza kuhisi huenda habari zake zilivuja.
Halafu rafiki yake jamaa flani maarufu hapa mjini naye uwa kuna rumours kuwa anabokolewa nishamuona mara 2 anakuja mtembelea
 
Mmh. Inasikitisha sana.

Ila huwa nasikia wengine wana hadi wake na watoto huku upande wa pili ni mapun*a.

Wanaitwa Sigara kali unavuta kote kote
Au Shombe shombe nusu rijali nusu choko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…