gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,610
We jamaa una majibu sana aiseeNdio unavyotafuta maisha hivyo?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa una majibu sana aiseeNdio unavyotafuta maisha hivyo?!
Ila sipati jibu hawa mashoga hata kama hana kazi huwa yana hela kuliko wee kidume???!!!sijui huwa yanatoa wapi huwezi kumkuta shoga choga mbaya asee sijui huwa wanavuna biko wapiYani nahisi ndivyo walivyo jamaa anajikuta ana roho nzuri sana.
Huyo dogo ana simu ya kitorch kila siku alikuwa anamwambia ntakununulia smart phone sijui hiyo tv yangu nimeichoka kama waitaka kaichukue.
Yani yana style ya kuwanasa watu
Hawezi kujibu huyo!!Akijibu hii hoja nitag
hahahahaha!!MASHOGA MBNA WAKO WENG TU WENGNE 'MADEREVA'
Kuliko kupiga shoga heri apige kahaba kama wewe.Huyo aliyekubali kuona itakuwaje ndio mwanzo huo.. aiseeeeee!!!
We kweli unasoma na unajiongezea ambavyo sijasema au uwa unadhani voice note zinapatikana whatsapp tu.Hadithi tu hizi za kujipa kiki!!
Ninaweza kuamini kuwa umei -fabricate hii hadithi ili kujipa utakatifu na ujiko kuwa ulitongozwa ukanyofoa.
Possibly wewe ndio huyo dogo, ukapewa blow job ukapiga blah blah hapo ukakwepesha kwepesha.
NATAKA NIKUTHIBITISHIE KUWA WEWE NI MNAFIKI NA SHETANI...
Nifuate hapa.....
Umesema "dogo" anatumia simu ya tochi na aliahidiwa kununuliwa smartphone, sio?
Ukasema ulisikia maongezi ya VOICE NOTE (a WhatsApp feature) jinsi dogo alivyokuwa anabembelezwa na huyo "jamaa" na ukasema maongezi yao yalikuwa disgusting, na ukafedheheka, sio?
Simu ya torch ina uwezo wa kurekodi voice note?
Wewe ni muongo na mlawiti.
Umemlawiti na nafsi ikakusuta ukaanza kutengeneza wahusika wa kufikirika.
Don't worry, you are not gay, ulikuwa unajifunza tu na usirudie.
No mimi sikunwambia akathibitishe hata ile kumwambia aende sikuwa namwambia aende akathibitishe ila nilikuwa namaanisha aende akale ulabu maana dogo anapenda sana ulabu.Lakini dogo ulimwambia wewe kwamba aende ili athibitishe na akuletee majibu. Maana ulipokuwa na utata huenda uliamini labda jamaa ni kinyume cha mawazo yako.
Kikombe hicho umeshindwa kukiepuka wewe na rafiki yako.
Yes hata yeye ni hivyo ana vijisent sasa kazi anayoifanya sasa.Ila sipati jibu hawa mashoga hata kama hana kazi huwa yana hela kuliko wee kidume???!!!sijui huwa yanatoa wapi huwezi kumkuta shoga choga mbaya asee sijui huwa wanavuna biko wapi
Aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea ...Mbona inaonekana kama unatafuta uungwaji mkono hapa jf ukazibue chooo? Ww kajipigie kiroho safi acha ujinga
Narudia tena kama wewe ukitongozwa na shoga wajivunia waona kama ni kiki, basi ni wewe mimi kwangu ni mkosi kutongozwa na shoga.Hawezi kujibu huyo!!
Naelewa tabia zao hawa , wakitongozwa na mashoga huwa wanajiinua viburi vyao na kujipa ujiko. (ego) .
(Sijui huwa wanajisikia raha sana kuhusu hilo ama)???
Mara nilitongozwa nikakimbia, blah blah....
I haven't heard anyone confessing for having fucked a fag....
Hizi ni stori tu za kijinga zilizofichwa juu ya unafiki wa juu sana.
Utakuta huyu naye ni basha ila kajibaraguza weee katengeneza kijihadithi chenye wahusika bandia.... eti dogo??
😀
Foolish.
Wewe miss story yako ya jamaa mchafu hujaimaliziaaisee poleni
Pengine pia hakukosea sms alikuwa anakujulisha kuwa Yeye ni ChokoHizo mambo zipo sana skuiz, kunajamaa nilisoma nae chuo zamani yeye alikua mchaga mim mtu watanga, alikua anantania sana kua sisi watu watanga ndio michezo yetu nikawa namchukulia kua jamaa anatania. Kuna sku alikosea sms ikaja kwangu ndo nkashtukia kua jamaa sio rizik naushikaji ukaishia apoapo
Unababaika tu.We kweli unasoma na unajiongezea ambavyo sijasema au uwa unadhani voice note zinapatikana whatsapp tu.
Chukua simu yoyote isiyo na whatsapp hizi tecno ndogo hizi feature phone ingia extra kuna app ya voice recording.
Siku kwa ajili ya kukuaminisha ni uamuzi wako kuamini au kutoamini.
Kuna mengi ya kujipa nayo kiki ila hili siyo moja wapo