wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Kutoolewa na wachumba wao, Ni kweli huwa wamo kwenye mahusiano lakini wanaume wanakwepa mno kuwaoa.
Kuchelewa kuolewa,
Ndoa kudumu muda mfupi, hapa mara nyingi sababu huwa ni mwanamke kutaka kuleta mambo ya usawa ule wa ulaya, mfano mwanaume ajipelekee maji ya kuoga bafuni, ajitengenezee chai, ajifulie, n.k. Kutaka uhuru uliopitiliza, anataka hata akiolewa arudi usiku, n.k.
Divorces / kuvunja ndoa kwao wala si ishu
n.k.