Hii kitu ishakuwa global,wanawake wengi wasomi na wenye hela wengi wapo single na wengi wanaumia kutokuwa na mahusiano.
Ukienda Japan wanadai rate ya kudate na kuzaliana imepungua, China kule wana single events ambazo wahudhuriaji wengi ni wanawake wasomi na wenye hela zao. Ukija US na ulaya waandaaji wa Single events wanadai siku hizi wanaume wamekataa kitongoza wanawake, kwani events nyingi wanazo zianda wanatokea asilimia kubwa 90+ni wanawake, wanaume hawaji na events zote wanawake wanao tokea ni wale umri umeenda,wasomi na wenye hela zao.
View: https://m.youtube.com/watch?v=ulUIFi-7Oug&t=486s&pp=ygUnTWlsaW9uYWlyZSBpbiBDaGluYSBsb29raW5nIGZvciBodXNiYW5k
View: https://m.youtube.com/watch?v=JzhFO9p48uY&t=67s&pp=ygUhbWVuIG5vdCBhdHRlbmRpbmcgc2luZ2xlcyBldmVudHMg
View: https://m.youtube.com/watch?v=Izt819ny8ck&pp=ygUhbWVuIG5vdCBhdHRlbmRpbmcgc2luZ2xlcyBldmVudHMg
Tatizo moja la dada zangu anapokuwa msomi,anahela au wadhifa attitude yake kwa mwanaume inakuwa mbovu,labda umkute binti msomi ambaye ameishika dini tokea utotoni na hasa dada zangu wa Kislam wengi huwaga wana nidhamu kwa waume zao pamoja na elimu/hela zao,ila kwa mmewe atampa heshima yake.
Hapo ndipo utakapojua mwanaume awe Mzungu,Muafrika,Muasia,Mlatin anachotaka kwa mwanamke ni heshima na utulivu, hivyo vitu wanawake wengi wasomi,wenye hela na wenye wadhifa hawana.
Ulaya kuna wazungu wapewa aka ya Passport Bros,wao wanaenda kutafuta wake nje ya nchi kama Afrika,Thailand,Philippines nk ambapo huu ujinga usawa wa kijinsia,ufeminist sio mkubwa. Yani wanawake fanya ufanyavyo,ila endapo mwanaume husipo muheshimu tu sababu ya hela,elimu au wadhifa wako wanaume watakukimbia kila siku.