Nimegundua kwamba mabinti waliosoma au kuishi Ulaya / Marekani wakirudi Tanzania wana kiwango kikubwa cha matatizo ya ndoa

Nimegundua kwamba mabinti waliosoma au kuishi Ulaya / Marekani wakirudi Tanzania wana kiwango kikubwa cha matatizo ya ndoa

Naona malalamiko mengi yanaelekezwa kwa wanawake, wengine wameandika eti wakasagane na nyie mkafirane si ndio? Baba zenu waliheshimiwa sababu walijua kuwa wanaume sio nyie nyoro nyoro kazi kulalamika kwenye keyboards tu
 
Hali inatisha sana, Tutaandika mijadala mingi hapa jukwaani lakini hakuna kitu kitabadilika, zaidi ya sisi kuyakubali mabadiliko na kuyaishi
 
Back
Top Bottom