wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Kuna vitu yafaa mkeo avifanye kama wewe unavyomtimizia majukumu yake, sio kila kitu house girlDuh kwanini upashiwe maji ya kuoga? Si uweke heater tu? Utengenezewe chai huna kettle? Weka house girl.
Ndio Ushindwe hata kuchemsha maji yako ya kuoga hadi umsubirie mkeo??Kuna vitu yafaa mkeo avifanye kama wewe unavyomtimizia majukumu yake, sio kila kitu house girl
Sio kila mwanamke ana ndoto za kuolewa, pia sio kila mwanamke ana ndoto za kuolewa na mwafrikaKuna mmoja alisoma ud akaenda Scandinavia akarudi akafanyakaz African Union akaenda harvad.
Nikafupi yaani sijui nani atakaoa. Mungu anisamehe ila dah yaani ukioa ujue umeolewa wrwe na vyombo utaosha, tunda utakula kwa ratiba...
UZi wako umenifanya nianze kuwakumbuka wasichana wengi.Nimeona kama kuna ukweli flan hivi.Maana mabinti wengi waliosoma nje pale kijiweni kwetu naona wengine hawajaolewa na wengine ni Single mothers.Halafu wa uanaharakati mwingi.Wengine ni wavuta sigara na ulevi uliokithiri.isipokuwa kichwani wako njema sana.Kutoolewa, huwa wamo kwenye mahusiano lakini wanaume kuna saabu zinafanya wanaume kuruka ndoa
Kuchelewa kuolewa,
Ndoa kudumu muda mfupi, hapa mara nyingi sababu huwa ni mwanamke kutaka kuleta mambo ya usawa ule wa ulaya, mfano mwanaume ajipashie maji ya kuoga, ajitengenezee chai, n.k. Kutaka uhuru uliopitiliza, anataka hata akiolewa arudi usiku, awe na marafiki wa kiume bila bugudha, n.k.
Divorces, Kuvunja ndoa ni kama kusaini kataba wa kuuziana magari
n.k.
SahihiNaonaga wengine wanajielew zaid wanakuw vzr and smart hawapg viznga kata wakina fatuma ngete
Si ajabu kwenu mama alikuwa na sauti kuzidi baba, zile familia hata ukipeleka posa kwa binti, baba anakuwa kimya mama ndie anaongea zaidi.Ndio Ushindwe hata kuchemsha maji yako ya kuoga hadi umsubirie mkeo??
India mwanaume ndiye anapelekewa posaSi ajabu kwenu mama alikuwa na sauti kuzidi baba, zile familia hata ukipeleka posa kwa binti, baba anakuwa kimya mama ndie anaongea zaidi.
Kuna vitu so trivial to mention.Kuna vitu yafaa mkeo avifanye kama wewe unavyomtimizia majukumu yake, sio kila kitu house girl
Inaonekana kalikunyimaKuna mmoja alisoma ud akaenda Scandinavia akarudi akafanyakaz African Union akaenda harvad.
Nikafupi yaani sijui nani atakaoa. Mungu anisamehe ila dah yaani ukioa ujue umeolewa wrwe na vyombo utaosha, tunda utakula kwa ratiba...
Hatupo IndiaIndia mwanaume ndiye anapelekewa posa
[emoji16][emoji16]Hakuna mwanaume anataka mwanamke mjuaji.
Waache wasagane tu
Wahindi wapo TanzaniaHatupo India
Mkuu wanawake wa sasa hivi sio kama mama zetu na dunia ya leo sio kama ya 1960/70sSi ajabu kwenu mama alikuwa na sauti kuzidi baba, zile familia hata ukipeleka posa kwa binti, baba anakuwa kimya mama ndie anaongea zaidi.