U Uujn2 Senior Member Joined Jan 19, 2023 Posts 105 Reaction score 142 Jul 7, 2024 #41 Matawi ya juu said: Inaonekana kalikunyima Click to expand... Umeniwahi mkuu...[emoji28]
Y Ya kale dhahabu JF-Expert Member Joined Oct 25, 2023 Posts 317 Reaction score 495 Jul 7, 2024 #42 gammaparticles said: Ndio maana yake kaoe wa vijijini Click to expand... Kwanini amekubali kuolewa na mimi ,akijua fika sina pesa!!?
gammaparticles said: Ndio maana yake kaoe wa vijijini Click to expand... Kwanini amekubali kuolewa na mimi ,akijua fika sina pesa!!?
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 24,514 Reaction score 65,521 Jul 7, 2024 #43 Naona malalamiko mengi yanaelekezwa kwa wanawake, wengine wameandika eti wakasagane na nyie mkafirane si ndio? Baba zenu waliheshimiwa sababu walijua kuwa wanaume sio nyie nyoro nyoro kazi kulalamika kwenye keyboards tu
Naona malalamiko mengi yanaelekezwa kwa wanawake, wengine wameandika eti wakasagane na nyie mkafirane si ndio? Baba zenu waliheshimiwa sababu walijua kuwa wanaume sio nyie nyoro nyoro kazi kulalamika kwenye keyboards tu
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 6,585 Reaction score 10,363 Jul 7, 2024 #44 Hali inatisha sana, Tutaandika mijadala mingi hapa jukwaani lakini hakuna kitu kitabadilika, zaidi ya sisi kuyakubali mabadiliko na kuyaishi
Hali inatisha sana, Tutaandika mijadala mingi hapa jukwaani lakini hakuna kitu kitabadilika, zaidi ya sisi kuyakubali mabadiliko na kuyaishi
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Jul 7, 2024 #45 Ya kale dhahabu said: Kwanini amekubali kuolewa na mimi ,akijua fika sina pesa!!? Click to expand... Kwa sababu wewe ni muongo tapeli
Ya kale dhahabu said: Kwanini amekubali kuolewa na mimi ,akijua fika sina pesa!!? Click to expand... Kwa sababu wewe ni muongo tapeli
gammaparticles JF-Expert Member Joined Jan 9, 2024 Posts 1,407 Reaction score 3,855 Jul 7, 2024 #46 Ya kale dhahabu said: Kwanini amekubali kuolewa na mimi ,akijua fika sina pesa!!? Click to expand... Amka wewe. geuka ubavu wa pili. mbu wanakung'ata
Ya kale dhahabu said: Kwanini amekubali kuolewa na mimi ,akijua fika sina pesa!!? Click to expand... Amka wewe. geuka ubavu wa pili. mbu wanakung'ata