FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
kuna kila dalili kwamba mikataba mingi mibovu huwa inaingiwa sio kwa bahati mbaya, bali kwa makusudi kabisa, ili akija Rais mwingine au wananchi wakapiga sana kelele, basi mkataba unavunjwa halafu tunapelekwa ICSID.
Kule sasa wanatumwa magoigoi au vibaraka kama akina mkono enzi zike, tunalimwa faini za matrillion halafu watu wanagawana pesa kiulaini sana.
Kwa hili la DPWorld, jinsi sauti zinavyokuwa nyingi wao ndio wanafurahi, maana wanajua kesi ICSID au huko Afrika kusini haioo mbali, na kwa scope ya uwendawazimu uliopo ndani ya mkataba huu wa DPW, bila shaka wamelenga faini ya sio chini ya Trillion 120 kama faini, maana kugomboa nchi iliyouzwa completely sio masikhara, yaani tutalipa pesa ambayo ni kama tunainunua upya Tanganyika toka kwa mwarabu.
Hii pesa italipwa kwa urahisi sana kupitia umeme utakaouzwa nje ya nchi toka Bwawa la Nyerere, ambayo kwa mwaka itazalisha umeme wa kama Trillion 12 hivi, na zitakuwa zikichukuliwa huko huko juu kwa juu. Nadhani itatuchukua kama miaka 10 hivi kubuy back Tanganyika. Mungu atusaidie kwa kweli.
www.jamiiforums.com
==========================
View: https://youtu.be/psA-SZ59z2M

NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi. Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo...
==========================
View: https://youtu.be/psA-SZ59z2M