Nimegundua madaktari wengi wanaoa wagonjwa wao!


co ajabu coz hata walimu wanaoa wanafunzi wao
 
Me Nina mfano hai!to some extent nakubaliana nae
 
Provide factual evidence for this na when you make a sample of Dk. Consult us tutakupatia a better one to use then uje na findingz
 
ngoja nikumbuke nilikutana wapi na mume wangu
 
Usikariri But Kwani Kunatatizo Gani
Mazingra Nayo Yana Changia Mtu Kupata Jiko Lake So Just Normal ,
 
madaktari tafadhalini tusaidieni na majibu katika ilo japo mi na marafiki wawili madaktari mmoja wa kike aliyeolewa na mgonjwa wake ambae alimtibia takribani miaka miwili baada ya kupata ajali na familia yake yote kufa sasa cjui ilikuwa ni huruma au la .... huyo mwingine yeye anahangaika na manesi wake plus wagonjwa wanaojipendekeza kwake
 
Unakula unapolima mkuu,so far everybody ni mgonjwa mtarajiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…