Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 757
Madaktari wengi ni wachezaji(players) kwa wagonjwa wao...nimeshuhudia na kusuluhisha kesi kadhaa...hii ipo,amini usiamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli muhimbili maprof wengi wameoa wagonjwa wao kama uhamini kaulize
co ajabu coz hata walimu wanaoa wanafunzi wao
ChaiHabari wana MMU,.
Ninafahamiana na madaktari wengi ambao nimepata kufanya kazi nao nyakati tofauti tofauti katika maisha yangu.
Wengi wao nilipotaka kupata historia zao katika mahusiano na hasa walipataje mke waliniambia madaktari wengi wanawaoa wagonjwa wao wanaofika mahospitalini kwa matibabu.
Nilistaajabu sana iweje daktari amuoe mgonjwa wake? Majibu ni kwamba daktari anapomtibu mgonjwa wake akapona vizuri hujenga imani kubwa sana na daktari wake hivyo endapo mwanamke huyo atakuwa bado hajaolewa daktari akimtaka awe mke wake wengi wao huwa hawakatai ombi hilo.
Wakuu naomba kupata mitazamo yenu pia Juu ya hili.
Nawasilisha,...
we mtoto taratibu na tena tuombe radhi sisi walimu. Ni kinyume cha sheria na maadili ya kiualimu kuoa mwanafunzi wako.save only kama ni x student. Looh nilitaka kusahau kumbe mie mwenyewe nataka kuoa my former student!

NaamSiyo kweli,huo ni mtazamo fanya utafi wa kutosha..maana wengine wanasema always dr vs nurse, dr vs dr, dr vs mwalimu...
Every person ni potential mgonjwa kama sio leo basi kesho utaugua....so mwanamke yoyote akiolewa na daktar unaweza ona kama kaoa "mgonjwa" wake....dont rush to make coclusions....kwa mtazamo huu utasema pia mwalim anaoa mwanafunz....polisi anaoa mtuhumiwa au shahidi.....the argument eti kwakuwa umemtibu anajenga imani...as if the only reason to get narried to someone ni imani....anywsys sikubaliani na eewewe
Ni uongo sasa unataka nikubali tuChizi wewe
eHabari wana MMU,.
Ninafahamiana na madaktari wengi ambao nimepata kufanya kazi nao nyakati tofauti tofauti katika maisha yangu.
Wengi wao nilipotaka kupata historia zao katika mahusiano na hasa walipataje mke waliniambia madaktari wengi wanawaoa wagonjwa wao wanaofika mahospitalini kwa matibabu.
Nilistaajabu sana iweje daktari amuoe mgonjwa wake? Majibu ni kwamba daktari anapomtibu mgonjwa wake akapona vizuri hujenga imani kubwa sana na daktari wake hivyo endapo mwanamke huyo atakuwa bado hajaolewa daktari akimtaka awe mke wake wengi wao huwa hawakatai ombi hilo.
Wakuu naomba kupata mitazamo yenu pia Juu ya hili.
Nawasilisha,...
majority ni walevi sana na wazinzi sana.na wanatumia hiyo kama tiket.Mind you daktari akikutana na mtu hata kama ni baa at some point ataanza ataulizwa anything to do with health...mara utaskia afadhali kumbe we dr sasa dr nina tatizo....pili u ought to consider the number of people daktaru anainteract nao na ujue wangapi ana fall nao in lov....or the other way round angalia ndaktari kadate watu wangapi then tuone wangapi walikuwa immediate patients wake....mind you dr patient relationship haiishi mgonjwa akipona....wagonjwa wengi wanapenda kukeep in touch with drz just in case akiugua tena in the future asipate shida...then tujiulize how do people fall in lov....tstzo ni kuwa ur argument ina suggest as if simply because ur a patient to a dr therefore u likely to be more confident and eventually fal in lov..its a bit pragmatic