Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Nina pesa bro na huwezi kuniona kwenye hizo orodha zenu ila sina kiburi cha kukataa kutoa gari langu parking na kumuita mtu niliemzidi kipato masikiniNelson Jacob lushasi
Tajir aliyewah kuwa masikin ndiyo anaweza kufanya hivyo.
Mm ni tajir wa kuzaliwa,
Hata hivyo nikiangalia tu jina lako sikuoni kwenye orodha yoyote ya matajir, sijui ww ni tajir wa wapi!!? Usije ukawa tajir wa maneno masikin wa pesa
Au bro hela zako za urithi nini??????Real man hawezi kuwaita watu wengine masikini sababu anajua alikotoka!!!!!!Be humble dunia tunapita kakaNelson Jacob lushasi
Tajir aliyewah kuwa masikin ndiyo anaweza kufanya hivyo.
Mm ni tajir wa kuzaliwa,
Hata hivyo nikiangalia tu jina lako sikuoni kwenye orodha yoyote ya matajir, sijui ww ni tajir wa wapi!!? Usije ukawa tajir wa maneno masikin wa pesa
Afu kumbe umerithi utajiri kwa kuzaliwa!!!!Basi kaka tufunge mjadala hatuendani!!!!Nelson Jacob lushasi
Tajir aliyewah kuwa masikin ndiyo anaweza kufanya hivyo.
Mm ni tajir wa kuzaliwa,
Hata hivyo nikiangalia tu jina lako sikuoni kwenye orodha yoyote ya matajir, sijui ww ni tajir wa wapi!!? Usije ukawa tajir wa maneno masikin wa pesa
Alibebwa kufika alipo, hasira kwa juhudi binafsi utoboiMagufuli alikuwa masikini
[emoji848][emoji55]
Unanikumbusha vitoto vya chuo, vinaigiza kuwa na maisha mazuri kumbe nyuma ya pazia ni choka mbaya,,,, ukimaliza kuota amka ukafanye kazi maisha ni hayahaya kuota sio dhambi[emoji124]Nelson Jacob lushasi
Tajir aliyewah kuwa masikin ndiyo anaweza kufanya hivyo.
Mm ni tajir wa kuzaliwa,
Hata hivyo nikiangalia tu jina lako sikuoni kwenye orodha yoyote ya matajir, sijui ww ni tajir wa wapi!!? Usije ukawa tajir wa maneno masikin wa pesa
Kuna kautafiti kalipita siku za nyuma hapo kanasema asilimia kubwa ya watz ni vichaa, ndo naanza kuamini sasaKama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Muda huu niko hapa nakunywa nimechelewa kufika sasa nimepaki gari langu nyuma ya magari ya vyombo vingine vya usafiri.
Kuna jamaa yuko anafoka anataka nitoe gari na hajui mwenye gari ni nani, anatukana tu mimi nimemwambia mhudumu akamwambie mwenye gari bado anakunywa asubiri au agonge alipe. Sasa naona kampiga kofi muhudumu!
Nasema umasikini ni mbaya sana na mimi sina mpango wa kutoka hapa kwa sasa, acha apige kelele, najua atakuwa hajala vizuri hivyo muda wowote atanyamaza baada ya kupata njaa.
Nitarudi.......
Its okAlibebwa kufika alipo, hasira kwa juhudi binafsi utoboi
Breakdown!??? Ivi kwa haraka haraka unafikiri nilienda na gari gan??Mimi ningekuletea breakdown services, ungeikuta gari yako polisi, huo siyo ustaarabu, mathalani huyo mtu ana dharura, anataka awahi hospital, wewe ndiye mwenye umasikini wa kipato na fikra
Sijawah kukodi garMasikini akipata matako hulia mbwata. Ungekua born rich ungekua mstaarabu gari ya kukodi ndio unaishia kukera wenzio. Wewe kwanini upaki nyuma ya gari ya mwenzio halafu ushuke.