Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Muda huu niko hapa nakunywa nimechelewa kufika sasa nimepaki gari langu nyuma ya magari ya vyombo vingine vya usafiri.
Kuna jamaa yuko anafoka anataka nitoe gari na hajui mwenye gari ni nani, anatukana tu mimi nimemwambia mhudumu akamwambie mwenye gari bado anakunywa asubiri au agonge alipe. Sasa naona kampiga kofi muhudumu!
Nasema umasikini ni mbaya sana na mimi sina mpango wa kutoka hapa kwa sasa, acha apige kelele, najua atakuwa hajala vizuri hivyo muda wowote atanyamaza baada ya kupata njaa.
Nitarudi.......