Nimegundua masikini wana hasira sana

Nimegundua masikini wana hasira sana

Nelson Jacob lushasi
Tajir aliyewah kuwa masikin ndiyo anaweza kufanya hivyo.
Mm ni tajir wa kuzaliwa,
Hata hivyo nikiangalia tu jina lako sikuoni kwenye orodha yoyote ya matajir, sijui ww ni tajir wa wapi!!? Usije ukawa tajir wa maneno masikin wa pesa
Nina pesa bro na huwezi kuniona kwenye hizo orodha zenu ila sina kiburi cha kukataa kutoa gari langu parking na kumuita mtu niliemzidi kipato masikini
 
Nelson Jacob lushasi
Tajir aliyewah kuwa masikin ndiyo anaweza kufanya hivyo.
Mm ni tajir wa kuzaliwa,
Hata hivyo nikiangalia tu jina lako sikuoni kwenye orodha yoyote ya matajir, sijui ww ni tajir wa wapi!!? Usije ukawa tajir wa maneno masikin wa pesa
Au bro hela zako za urithi nini??????Real man hawezi kuwaita watu wengine masikini sababu anajua alikotoka!!!!!!Be humble dunia tunapita kaka
 
Nelson Jacob lushasi
Tajir aliyewah kuwa masikin ndiyo anaweza kufanya hivyo.
Mm ni tajir wa kuzaliwa,
Hata hivyo nikiangalia tu jina lako sikuoni kwenye orodha yoyote ya matajir, sijui ww ni tajir wa wapi!!? Usije ukawa tajir wa maneno masikin wa pesa
Afu kumbe umerithi utajiri kwa kuzaliwa!!!!Basi kaka tufunge mjadala hatuendani!!!!
 
Hasira ni laana, Ukishakua na hasira utakuwaje na pesa sasa.
 
Masikini akipata matako hulia mbwata. Ungekua born rich ungekua mstaarabu gari ya kukodi ndio unaishia kukera wenzio. Wewe kwanini upaki nyuma ya gari ya mwenzio halafu ushuke.
 
Nelson Jacob lushasi
Tajir aliyewah kuwa masikin ndiyo anaweza kufanya hivyo.
Mm ni tajir wa kuzaliwa,
Hata hivyo nikiangalia tu jina lako sikuoni kwenye orodha yoyote ya matajir, sijui ww ni tajir wa wapi!!? Usije ukawa tajir wa maneno masikin wa pesa
Unanikumbusha vitoto vya chuo, vinaigiza kuwa na maisha mazuri kumbe nyuma ya pazia ni choka mbaya,,,, ukimaliza kuota amka ukafanye kazi maisha ni hayahaya kuota sio dhambi[emoji124]
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,

Muda huu niko hapa nakunywa nimechelewa kufika sasa nimepaki gari langu nyuma ya magari ya vyombo vingine vya usafiri.

Kuna jamaa yuko anafoka anataka nitoe gari na hajui mwenye gari ni nani, anatukana tu mimi nimemwambia mhudumu akamwambie mwenye gari bado anakunywa asubiri au agonge alipe. Sasa naona kampiga kofi muhudumu!

Nasema umasikini ni mbaya sana na mimi sina mpango wa kutoka hapa kwa sasa, acha apige kelele, najua atakuwa hajala vizuri hivyo muda wowote atanyamaza baada ya kupata njaa.

Nitarudi.......
Kuna kautafiti kalipita siku za nyuma hapo kanasema asilimia kubwa ya watz ni vichaa, ndo naanza kuamini sasa
 
Mimi ningekuletea breakdown services, ungeikuta gari yako polisi, huo siyo ustaarabu, mathalani huyo mtu ana dharura, anataka awahi hospital, wewe ndiye mwenye umasikini wa kipato na fikra
 
Mimi ningekuletea breakdown services, ungeikuta gari yako polisi, huo siyo ustaarabu, mathalani huyo mtu ana dharura, anataka awahi hospital, wewe ndiye mwenye umasikini wa kipato na fikra
Breakdown!??? Ivi kwa haraka haraka unafikiri nilienda na gari gan??

Kuna magari Break down hawayachukui hata iweje

Hivyo hivyo hata barabarani traffic Kuna gari hawasimamishi

Na wakikusimamisha wanakusalimia tu
 
Masikini akipata matako hulia mbwata. Ungekua born rich ungekua mstaarabu gari ya kukodi ndio unaishia kukera wenzio. Wewe kwanini upaki nyuma ya gari ya mwenzio halafu ushuke.
Sijawah kukodi gar
 
Back
Top Bottom