hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Mi namjua Chief godlove
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya tanzanite na biashara za mifuko.
Jana nilikutana na tajiri mmoja hapa Dodoma aliishia darasa la saba nikamuambia kama siyo shule imenipotezea muda leo ningekuwa mbali mno tena tungekuwa tunakula sahani Moja na wewe alichekaa sana ndipo akasamema yeye angepata hata robo ya elimu yangu hata diploma tu angekuwa billionaire had sasa hivi, nikaona kabisa anatamani elimu yangu na mimi natamani biashara yake.
Akasema laiti angeishia hata fom four au diploma angepasua sana na madili kibao angepiga.
Akanimbia elimu ni Bora sana kama una akili za maisha ila ni mbaya sana kama unashindwa kutimia elimu yako kupata kipato.
Mwisho akasema yeye sasa hivi anahakiksha watoto wake wanapata elimu Bora wote wamesoma St Constantine arusha huko ada milion 15.
Mzee huyu ni mfanyabisha mdogo sana wa pembejeo za kilimo na viuatilifu
Imagine ni matajiri wangapi wamesoma Wana elimu kubwa una wafahamu? Mzee Mengi marehemu ana Diploma ya Uhasibu the rest ni la saba au form four failures!
Huko duniani vipi? Matsjiri wote wakubwa wamepiga elimu nzito,Elimu versus Akili versus Mafanikio katika maisha.
Unaweza ukasoma sana lakini unaweza ukawa haujaelimika.
Aidha, unaweza kuelimika sana lakini Elimu yako ikawa haijakukomboa katika maisha yako.
Hata, ukitaka, kuwa ona, waliosoma, utawaona tu, wewe umetafuta ambao hawakusoma,Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya tanzanite na biashara za mifuko.
Jana nilikutana na tajiri mmoja hapa Dodoma aliishia darasa la saba nikamuambia kama siyo shule imenipotezea muda leo ningekuwa mbali mno tena tungekuwa tunakula sahani Moja na wewe alichekaa sana ndipo akasamema yeye angepata hata robo ya elimu yangu hata diploma tu angekuwa billionaire had sasa hivi, nikaona kabisa anatamani elimu yangu na mimi natamani biashara yake.
Akasema laiti angeishia hata fom four au diploma angepasua sana na madili kibao angepiga.
Akanimbia elimu ni Bora sana kama una akili za maisha ila ni mbaya sana kama unashindwa kutimia elimu yako kupata kipato.
Mwisho akasema yeye sasa hivi anahakiksha watoto wake wanapata elimu Bora wote wamesoma St Constantine arusha huko ada milion 15.
Mzee huyu ni mfanyabisha mdogo sana wa pembejeo za kilimo na viuatilifu
Imagine ni matajiri wangapi wamesoma Wana elimu kubwa una wafahamu? Mzee Mengi marehemu ana Diploma ya Uhasibu the rest ni la saba au form four failures!
Mkuu umesomeka kinoma noma aseeKuwa tajiri huwa haitgemei umesoma au haujasoma
Maana kufanikiwa katika maisha hutegemea na MTU Kuwa na Elimu ya kujitambua "the sense of who you are"
Hivyo MTU anayefanikiwa kujitambua akajua udhaifu wake na uimara wake ulipo anaweza kutoboa ktk maisha hata Kama hajasoma.
Hapa duniani ukiwa unajitambua to the fullest kuna speed unakuwa nayo katika kuelekea kufanikiwa.
Hapa mnavyozungumzia mfumo kalaga baho huwq napaelewa kichizi yani ✍️👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Kinachostahili kuwekwa ni mfumo, ukiangalia duniani, working class au middle income class wengi ni elites kutokana na professional works
Ukiangalia pia, nchi hizo zimeweka mifumo thabiti kiasi kwamba kila mwenye potential, iwe ya darasani au si ya darasani anatoboa..
Mfano leo hii msanii kama Michael Jackson, pesa anayoiingiza akiwa amelala kaburini inaweza kulea beneficiaries wake pasipo wao kufanya kazi.
Hao kina Mark, bill gates au elon, wote wanafanikiwa kwa sababu patent system ipo vizuri.. Njoo huku kwetu
Leo msomi akifanya invention, anafaidikaje nayo
Kina kanumba au Ngwair, Leo kazi zao zinafaidishaje familia zao
The issue is, katika nchi ambayo brains zinazoiendesha zinawashauri wasomi kutofikiria au kufanya makubwa zaidi ya kwenda kwenye kilimo cha jembe la mkono. Matajiri gani wanaweza kuzalishwa
Issue hii ni pana brother but in reality, mifumo kwa Tanzania hakuna ndio maana hata private sector inachechemea. Na bila private sector kubwa, matajiri watapatikana wapi brother??
Kapitie kitu kinaitwa polarisation of povertyMkuu vipi kuhusu Maskini Wengi?
Afrika nzima mkuu matajiri wqke hawana definition ya kueleweka. Mostly wana historia ya kufanya vitu uncertainly. Mtu kaingia siasan tu mara paap kawa bilionare. Kuna wemgine siku hizi wanapambana kushika millions wakizipata wqnaingia siasani paaap wanakuwa matrilionea kabisaaaUtajiri wa Tanzania hauhusiani na taaluma wala teknolojia. Unapatikana kwa janjajanja nyingi, utapeli, ukwepaji kodi, connection za serikali, ndumba (kwa wanaoamini) na vitu aina hiyo. Haufundishiki. Kipaji asilia ndicho kinahitajika.
Shule haihitajiki wala hauwezi kurithishwa kikawaida. Labda kwa zindiko. Hauna value-added kwa jamii. Ni kama uganga wa kienyeji au uchawi. Tuseme ni kipaji asilia. Matajiri wamejaa bungeni; hawatoki kirahisi ila kwa fitna.
😁Ndio bwna CPA Holder
Sas jmn Samia ana elimu gani alikuw muhifadhi dataMbona matajiri wapo walio soma tu.
mfano ma rais Si matajiri wa kutupwa...
Hata hivyo wengi wamesoma kuhusu elimu ya ujasiriamali hawajasoma namna ya kufanya biashara, in entrepreneurship we learn how to do business not about business yaani tunajifunza jinsi ya kufanya biashara siyo kuhusu biasharaIkiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya tanzanite na biashara za mifuko.