Nimegundua matajiri wengi hapa Tanzania hawajasoma


Wengi ni wezi na matapeli,

Msomi kuwa mwizi mara nyingi ni shida labda uingie CCM
 
Elimu versus Akili versus Mafanikio katika maisha.

Unaweza ukasoma sana lakini unaweza ukawa haujaelimika.

Aidha, unaweza kuelimika sana lakini Elimu yako ikawa haijakukomboa katika maisha yako.
Huko duniani vipi? Matsjiri wote wakubwa wamepiga elimu nzito,
Jeff Bezos, mark Zuckerberg, Trump(Baba),
Hata bongo na tajiri waliotengeneza ukwasi, kupitia, elimu, Derm electric, Ali, mfuruki,
 
Hata, ukitaka, kuwa ona, waliosoma, utawaona tu, wewe umetafuta ambao hawakusoma,
Ni sawa na kusema, waliopigania Uhuru wa nchi hii ni wa Islam tu, utawataja, Bibi titi, Sykes, Kawasaki, nk, lakini hata wakristo wapo, ukiwatska utawaona,
Au, tuseme walioikuza bongo fleva ni vijana wa ki islam tu, Juma nature, mabaga fresh, Daz nundz, diamond, kiba, nk,
Je wakristo hakuna! LA, hasha Prof j, Mr 2,nandy, nk
It's depends what you want to see
 
Mkuu umesomeka kinoma noma asee
 
Hapa mnavyozungumzia mfumo kalaga baho huwq napaelewa kichizi yani ✍️

Cc. Shimba ya Buyenze Lamomy
 
Afrika nzima mkuu matajiri wqke hawana definition ya kueleweka. Mostly wana historia ya kufanya vitu uncertainly. Mtu kaingia siasan tu mara paap kawa bilionare. Kuna wemgine siku hizi wanapambana kushika millions wakizipata wqnaingia siasani paaap wanakuwa matrilionea kabisaaa
 
Tutaongea kila kitu ila hadi sasa ELIMU HAINA MBADALA. Bila elimu hii dunia ingekuwa sehemu ya hovyo mno. Kudanganyika na hawa matajiri wetu wanaofanya uchuuzi ni kupoteza muda na mwelekeo wa Taifa zima. Na nyuma ya matajiri wengi kuna wanasiasa mafisadi. Kama hujasoma nenda kasome au somesha watoto wako. Maskini wa kutisha wengi wao wana elimu duni ya darasa la 7 kushuka chini.
 
Hata hivyo wengi wamesoma kuhusu elimu ya ujasiriamali hawajasoma namna ya kufanya biashara, in entrepreneurship we learn how to do business not about business yaani tunajifunza jinsi ya kufanya biashara siyo kuhusu biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…