Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

Sijaelewa.. corona hii bado mnakaribisha watu ndugu na majirani (huyo babu sijui unamtakia mema gani) alafu unakuja kusema huyo dada akatoa picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe dada stori hii ni ya uongo kabisa.. mwanamke aliyevishwa pete juzi tu awezi kuongea privacy za ndan Kama hizo public kwa mama jikoni.. huo ni uongo completely yaani

So alitembea na picha kabisa sababu anajua ulimualika Nyumbani eti?

CHAI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa.. corona hii bado mnakaribisha watu ndugu na majirani (huyo babu sijui unamtakia mema gani) alafu unakuja kusema huyo dada akatoa picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe dada stori hii ni ya uongo kabisa.. mwanamke aliyevishwa pete juzi tu awezi kuongea privacy za ndan Kama hizo public kwa mama jikoni.. huo ni uongo completely yaani

So alitembea na picha kabisa sababu anajua ulimualika Nyumbani eti?

CHAI

Sent using Jamii Forums mobile app
We hayakuhusu, tumekusanyika ardhini au Juu ya Dari bado haikuhusu
Sasa best, kama ni uongo kwanini uko hapa?!😂😂
Akyanani watz mnapeeeenda kuambiwa uongo😂
Basi next time nitaandika uongo usijali alafu ntakutag
 
Jana kuna mtu alitunga story ya ki Abu-Nuasi watu wakamuuliza una undugu na money penny? Sasa nilikua sijajua walimaanisha nn kumbe ndo hivi

Sent using Gun Trigger
 
Jana, nilisheherekea siku ya kuzaliwa ya Baba yangu Mzazi, tukaalika ndugu, jamaa na familia wa karibu kuja kumpongeza Mzee wetu

Katika kupika pika kule jikoni Akina mama sie, msichana mmoja akafunguka Kwa machozi mengi tukabakia na mshangao kwasababu NI Bibi harusi mtarajiwa,

Bibi Harusi: jamani Mimi nazidi kuchanganyikiwa mwenzenu, najua nimevishwa Pete j2 iliopita lakini juzi amenifuata Mesenja ofisini, akaniambia saini hapa nikasaini akaondoka..

Kufungua na kuangalia nakuta picha za mchumba wangu, anafanya Mapenzi na mwanaume mwenzake, tena anachekeleeea kabisa.

Nilitapika pale pale, sikula siku 3 nimelia Sana, sijamwuliza mpaka sasa mchumbangu, akipiga simu naongea nae kama hamna kitu, akitaka tuonane namkwepa namwambia corona mpaka leo Birthday ya Babu, nimeona nisipoongea ntakufa[emoji1784][emoji856][emoji855]

Nifanyaje?! Mume wangu mtarajiwa NI Bwabwa(shoga)?!

Akatoa picha kwenye pochi akaziweka mbele yetu tukahakikisha kabisa.[emoji125][emoji125][emoji125]

Doh kweli bwana! MKWE NI Bwabwa, tena anatulizwa na jamaa amejazia kweli kweli kama wale ma bouncer wa kwenye makumbi ya starehe kama disco[emoji123]

jamani mpeni ushauri biharusi mtarajiwa, akae au atembee [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Komaa si mnapenda visharobaro
 
Jana kuna mtu alitunga story ya ki Abu-Nuasi watu wakamuuliza uba undugu na money penny? Sasa nilikua sijajua walimaanisha nn kumbe ndo hivi

Sent using Gun Trigger
Mlete kwangu nimpepeee😂😂😂
Kumbe me famous hivyo ee
Ndio maana basi nauza Sana kwenye website yangu ya HADITHI😂😂😂💪
Woyoooooooo 🔥🔥🔥🔥🔥
Na kuna nyingine nimeitunga IPO hewani kaisome
Ya shangazi ya mkeo kutembea na wewe
 
Me kinachonishangaza NI kimoja Tu
Mpaka unaenda kuolewa ina maana ulisha-du na Huyo bwana
Katika ku-du kwao hakujua kuwa ni Bwabwa?!
Au mabwabwa wanaweza changanya kote, Wana TOA huduma Kwa wanawake na wanaume?! 🙄
Nisaidie Kwa Hilo plz🏃🏃🏃🏃
Wapo hao watu hawezi kuelect mpaka abustiwe na mtu akishabustiwa ndio anaelect alafu anajiona kidume kwa mwanamke wake huko kumbe ni Juma lokole tu.
 
Back
Top Bottom