Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

Sijaelewa.. corona hii bado mnakaribisha watu ndugu na majirani (huyo babu sijui unamtakia mema gani) alafu unakuja kusema huyo dada akatoa picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe dada stori hii ni ya uongo kabisa.. mwanamke aliyevishwa pete juzi tu awezi kuongea privacy za ndan Kama hizo public kwa mama jikoni.. huo ni uongo completely yaani

So alitembea na picha kabisa sababu anajua ulimualika Nyumbani eti?

CHAI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We hayakuhusu, tumekusanyika ardhini au Juu ya Dari bado haikuhusu
Sasa best, kama ni uongo kwanini uko hapa?!πŸ˜‚πŸ˜‚
Akyanani watz mnapeeeenda kuambiwa uongoπŸ˜‚
Basi next time nitaandika uongo usijali alafu ntakutag
 
Jana kuna mtu alitunga story ya ki Abu-Nuasi watu wakamuuliza una undugu na money penny? Sasa nilikua sijajua walimaanisha nn kumbe ndo hivi

Sent using Gun Trigger
 
Komaa si mnapenda visharobaro
 
Jana kuna mtu alitunga story ya ki Abu-Nuasi watu wakamuuliza uba undugu na money penny? Sasa nilikua sijajua walimaanisha nn kumbe ndo hivi

Sent using Gun Trigger
Mlete kwangu nimpepeeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe me famous hivyo ee
Ndio maana basi nauza Sana kwenye website yangu ya HADITHIπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ͺ
Woyoooooooo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Na kuna nyingine nimeitunga IPO hewani kaisome
Ya shangazi ya mkeo kutembea na wewe
 
Wapo hao watu hawezi kuelect mpaka abustiwe na mtu akishabustiwa ndio anaelect alafu anajiona kidume kwa mwanamke wake huko kumbe ni Juma lokole tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…