Utamuoa?! πππππmwambie aje kwangu..nimpe furaha ya moyo...
Then why are you here?! πππππ
Hawajaufuta wameufreezUnaweb π³ embu nitajie nataka nione unacho entertain huko ππ ule uzi ulikuwa hauna maadili ndio maana ulifuatwa ππππ
Nitakupa shangazi yangu akupime urijali KwanzaππππHuo mkao wako kwenye avatar huwa unaniacha hoi kabisaaaaaaππππππ
Utamuoa?! πππππ
Nitakupa shangazi yangu akupime urijali Kwanzaππππ
Tisher Sana sasa kule KWa shangazi ukipelekwa utakubali?!kabisa nitamuowa kama tutaeleana na kuendana na matarajio yetu...kama huyo mwana ni punga ajiandae kupata mume mwenza
kwashangazi hapana..siwezi hayo mambo mimi...kama ni yeye na akuje tuuuu....tuyajenge..Tisher Sana sasa kule KWa shangazi ukipelekwa utakubali?!
Wataenda kuolewa Kwa waganda Kwa akina banyankolesasa kama wanawake wanatamani kuolewa na wanaume wapo wachache ..na katika hao wachache wengi wao ni mapunga ..sijui dunia inaelekea wapi???????????
Sawa nadhan mawasiliano umeyapatakwashangazi hapana..siwezi hayo mambo mimi...kama ni yeye na akuje tuuuu....tuyajenge..
huko nako wanawake wako wengi kuliko wanaumeWataenda kuolewa Kwa waganda Kwa akina banyankole
Si kweliMwambie akasomee utawa tu siku hizi hamna wanaume halisi waoaji wapya wote ni mabwabwa tu
Sawa nadhan mawasiliano umeyapata
mubebe mbabe upooo???????????