Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #241
Foleni inaanzia Kwa shangazi ndugu🏃🏃🏃sasa inakuwaje au ndo bado unanibania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Foleni inaanzia Kwa shangazi ndugu🏃🏃🏃sasa inakuwaje au ndo bado unanibania
narudia tena huko mimi sitaki!!!!!!!!!!!Foleni inaanzia Kwa shangazi ndugu🏃🏃🏃
Hamna namna kama unataka kuoa kwetu😂😂narudia tena huko mimi sitaki!!!!!!!!!!!
,nimevutiwa na wewe njoo nikukunjeMbona uko hapa?!
Au umevutiwa na bwana harusi🏃🏃🏃😂😂😂
Foleni inaanzia Kwa shangazi,nimevutiwa na wewe njoo nikukunje
Picha IPO kwenye Uzi WA Shangazi🏃🏃🏃🏃
,shangazi hawezi mapigo yangu atazimia bure,nataka hot bloodFoleni inaanzia Kwa shangazi
Malizana kumkunja shangazi utakuja kwangu
Lakini Mila inasema ukitaka upatiwe hot blood anzia foleni kwa shangazi jamaa 😂😂😂,shangazi hawezi mapigo yangu atazimia bure,nataka hot blood
,,,nawaambia wanichagulie shangazi mdogo dogo then zanu yako itafataLakini Mila inasema ukitaka upatiwe hot blood anzia foleni kwa shangazi jamaa 😂😂😂
Haya, ngoja niiiandae kamati ya maandalizi😂😂,,,nawaambia wanichagulie shangazi mdogo dogo then zanu yako itafata
😂😂😂😂 Ulikuwa wapi?! Shangazi anakuiita kule🏃🏃🏃
Kwa hizo generation utakuwa umesoma darasa moja na mama Maria nyerere shule ya msingi
Hapana alinipita madarasa 4
Unastori za alinachaJana, nilisheherekea siku ya kuzaliwa ya Baba yangu Mzazi, tukaalika ndugu, jamaa na familia wa karibu kuja kumpongeza Mzee wetu
Katika kupika pika kule jikoni Akina mama sie, msichana mmoja akafunguka Kwa machozi mengi tukabakia na mshangao kwasababu NI Bibi harusi mtarajiwa,
Bibi Harusi: jamani Mimi nazidi kuchanganyikiwa mwenzenu, najua nimevishwa Pete j2 iliopita lakini juzi amenifuata Mesenja ofisini, akaniambia saini hapa nikasaini akaondoka..
Kufungua na kuangalia nakuta picha za mchumba wangu, anafanya Mapenzi na mwanaume mwenzake, tena anachekeleeea kabisa.
Nilitapika pale pale, sikula siku 3 nimelia Sana, sijamwuliza mpaka sasa mchumbangu, akipiga simu naongea nae kama hamna kitu, akitaka tuonane namkwepa namwambia corona mpaka leo Birthday ya Babu, nimeona nisipoongea ntakufa🤧🤕🤒
Nifanyaje?! Mume wangu mtarajiwa NI Bwabwa(shoga)?!
Akatoa picha kwenye pochi akaziweka mbele yetu tukahakikisha kabisa.🏃🏃🏃
Doh kweli bwana! MKWE NI Bwabwa, tena anatulizwa na jamaa amejazia kweli kweli kama wale ma bouncer wa kwenye makumbi ya starehe kama disco💪
jamani mpeni ushauri biharusi mtarajiwa, akae au atembee 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Weeee!
MKWE ukimwona alivyo mzuri amesimama, hajapindapinda, ndio tulishangaa SAA ngapi anatinduliwa maji taka?! [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Na unazipenda kweli ndio maana uko hapa😂😂Unastori za alinacha
NI sheedah 😂Hahahahaaa eti maji taka
Sent from my iPhone using JamiiForums