Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

Pole mkuu, kabla hujajiua hakikisha unaishi mpka muda ambao ndugu yako atapata mwanamke anaetarajia kumuoa nawe mle na ufanye ajue.... halafu wacha mambo yaende kama yatakavyokuwa.
 
Kinachosikitisha bado unakaa kwenu
 
Pole Sana Kaka angu bado unanafasi yakutafakari pande zote mbili kwa mdogo ako na mpenzi wako pia maamuzi yako yasilete Shida katik pande mbili Ivo basi unayonafasi yakukaa nakuongea nao kiundani juu ya sual ili naujue wanasemaje juu ya suala Hilo apo ndio utajua nn chakufanya kwamsaada zaidi karibu inbox asante
Huu sio muandiko wa mtu anayetetemeka kwa hasira......!
 
Hakuna feeling mbaya na inayouma kama unapopekua simu ya mpenzi wako na kujua kuwa ana mahusiano na mwanaume/mwanamke mwingine. Aisee mwili una freeze,moyo unaenda mbio , pumzi kama zinataka kukata, dunia unaona yote inakubana. Worst experience indeed.

Ushauri wangu ni kuwa mchane ukweli huyo mwanamke na mdogo wako pia then move on. Hivyo ndivyo wanaume wanavyofanys na toka hapo kata mawasiliano nae na muone kuwa ni sumu ktk maisha yako.

Swali lingine vp inaonekana unapiga sana mashati ya vitenge na dogo lako ni mtu wa kulipuka pamba,mixer perfumes kali kali???

Kwa uzoefu wangu juu ya tabia za wanawake ni kuwa ikiwa unamuhudumia kila kitu vizuri ila muonekano wako sio wa kileo jua kuwa atamtafuta sharobaro wa kuruka nae!

Na ikiwa ni sharobaro halafu humuhudumiii jua atafuta mtu wa kawaida ambae sio sharobaro ila anamtekelezea mahitaji yake. Dunia ndio ipo hivyo
 
Hukua na haha ya kujieleza Sana,

Uyo mwanamke wako anakujua Zaid ya tunavyokujua.

Kubali ukatae,

Kuna kitu Dogo kakuzidi kete,
Kama sio kunyuka pamba na unyunyu mkali au kutoka out kwenda viwanja weekends basi itakuwa ni muonekano wa kimwili na sura.

Mtoa mada apunguze kuvaa mashati ya kwendea kanisani, vibinti vya miaka 24 huwa havifagilii pigo za kifaza.
 
Kama unampelekea moto halafu haridhiki,pesa unampatia halafu haridhiki ,usikute mdogo wako anamfira ndio maana wanasifiana kuwa wameridhishana!!

Umemchunguza marinda huyo mwanamke kweli usikute kashazoea kupelekewa moto mtaroni
 
Polee,shukuru umeyajua mapema fanya achana na huyo demu maana yeye ndo hana msimamo kwa mazingira yalivo mkosaji hapo ni mwanamke mwenzangu.
 
Tulia fanya maisha iyo ni sehemu ya maisha endelea kuishi
 
Kama sio kunyuka pamba na unyunyu mkali au kutoka out kwenda viwanja weekends basi itakuwa ni muonekano wa kimwili na sura.

Mtoa mada apunguze kuvaa mashati ya kwendea kanisani, vibinti vya miaka 24 huwa havifagilii pigo za kifaza.
Ha ha ha....huwa nakubali Sana USHAUR wako. Ulembi brother[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti unywe sumu ufe kisa mwanamke hivi we una akili kweli wewe???

Mama yako atajiskiaje 'unatufedhehesha wanaume , tafuta mwanamke mwingine wa kutibu hayo majeraha
 
Inawezekanaje simu kuita ukaangalia jina mpaka na namba!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi kuna wanaume wanawachukulia mabinti wa miaka 24 serious?

Binti wa 18--26 ni wa kugegeda Tu,,
Sio malengo.

Fata ushauri wngu utakuja kunishukuru.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Haifai huyo mwanamke
 
Unasemaje Unampenda kwa Dhati?
Wanaume hatuna hiyo
 
Sikia mpendwa wetu je kamam niwewe ungefanyaje??
Ni hivi unamwamini rafiki yako toka nitoke kwenu wanajua mpo kama ndugu ila ile siku ilikuwa ya majuto tu.

Ilikuwa ijumamosi , nilikiwa nimemkumbuka babe wangu nikasema ngoja nipande uba niende nikamsalimie .
Kufika kwanza hapokei simu ila geiti lipo wazi , kufungua nikaendelea kusonga kusonga hadi mlangoni naona ndala za babe njee na viatu vya kike mlango wameacha wazi ni pazia limewekwa .

Weee sinikafungua pazia ni yule dada na babe wangu walishtuka vibaya sana.
Nikatoka kwa hasira nikaenda kuchukua bomba nikaenda ndani nikawamwagia nakumshika huyo dada nikampiga na stuli za ndani.
Nikamnyogea na hilo bomba maji yamejaa ndani .
Huyo kaka anaenda kuchukua vitu vya bei ghali na vya umeme ambavyoo vitapiga shoti.

Basii maisha ndio hayoo.

Tukaamuliwa huyo dada akasepa zake tokea hapo ushoga na ubest wandani nope.

Bye bye .bye bye .

Good day .....
Ushauri ndugu, marafiki no kumjua mtu wako ila hata huyo dada ni malaya hajiamini.
Hana akili unamywea mtu pombe sawa ila achana naye. .

Nilimpata mtu ambaye hata mashosti wakawaida waking'ang'ania anawaaibisha.
Good day .
 
Mkuu, hakuna mke hapo narudia tena hakuna mke hapo achana nae fanya mambo mengine.

Nimeshakutana na hizo mapichapicha sana tu kwa hawa wakike, mpaka naonaga hakuna demu wa mwenyewe ila tu kikubwa nisijue kama inamegwa na sitaki kufuatilia maana nikijua hakuna mbili kwenye moja ni kuachana tu

Mwambie ukweli kua umejua ujinga wake na dogo then fanya mambo mengine, ukijionyesha unajua kupenda sana na kumuonyesha unampenda sana kwa kujua na kusamehe Wallah utakuja hapa unafuta kamasi kama mtoto mdogo.
 
Wanawake ni viumbe hatari Sana, ngoja niwazalishe kadhaa nilee watoto wangu maisha yaendelee, sitaki upuuzi wa kuishi na binadamu wa kike.
 
Et unywe sumu ufe!!? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ukifa tu wenzio wanaoana kabsa.

We hapo waoneshe kuwa umeishajua kila kinachoendelea alaf focus kwenye mambo yako ya muhim usiwaoneshee chuki wala nini achana nao tu hio pia ni adhabu tosha
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…