Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri wangu, pole najua ni ngumu sana kuwa na hii hali ila niamini Mungu ni Mkuu amekunusuru na mwanamke muovu ambeye angekuja kukuumiza akiwa ndani ya ndoa.Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu.
Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu ninayempenda kwa dhati Sana.Kwa hyo Naomba mnishauri vizuri baada ya kusoma kisa changu kifuatacho.
Nina mpenzi wangu mwenye miaka 24 na nimedate naye kwa muda wa miezi Saba Sasa.Ni mwanamke ambaye ninampenda kea dhati yangu yote na nilikuwa na malengo makubwa Sana naye ikiwemo ndoa.
Tumekuwa tunapendana Sana na Mara nyingi anakujaga home kwetu kunitembelea mixer kutangamana na familia yangu( ndugu na wazazi wangu).
Alijenga mazoea makubwa Sana na familia yangu hasa ndugu yangu mdogo wa kiume ( ninamzidi na miaka 4) Hadi wakafikia hatua ya kubadilishiana mawasiliano wakawa wanaongea kwa pigo za kishemeji shemeji.
Hilo sikuwa na tatizo nalo maana nilijua huyu Ni ndugu yangu mdogo namwaminia kwahyo sikuwahi waza kwamba anaweza date na demu wangu.
Huyu mpenzi wangu nilikuwa nampenda kwa dhati Sana na toka nianze kudate naye Wala sijawahi mcheat na demu mwingine.Nilikuwa namprovaidia Kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kutoka kwa mpenzi wake.Nilikuwa namtazamia kula yake,mavazi,nauli,hela ya saloon,namuungia bundle na vocha kwenye simu yake,namtoa out mixer hela ya matumizi mengine ya kawaida.Chumbani Napo nilikuwa Nampa tango Yaani nilikuwa napiga shoo za nguvu Hadi ananistukia.Kwahyo ninaweza kusema kwamba mpaka muda huu sijawahi mzingua kwa lolote.
Naye hakuwahi kuonesha ishara za kudate na mwanaume mwingine tofauti na Mimi mpaka leo nilipogundua kwamba anadate na mdogo wangu[emoji24][emoji24][emoji24] Leo mida ya asubuhi tulikuwa sebuleni kwa mama tunashusha kiamsha kinya mixer kupiga story za matukio.Mdogo wangu alikuwa amekaa mkabala na Mimi na simu yake alikuwa ameiweka juu ya meza.
Sasa kipindi tunaendelea kunywa chai alikuja rafiki yake akamwita nje waongee kdgo.Alipotoka ghafla simu yake ikaanza kuita nikaona jina imeandika " SAM" afu number Nikaona ni ya huyo mpenzi wangu kbsa.Nilishtuka Sana na nikaanza kujiuliza kwanini mdogo amsevu mpenzi wangu( shemeji yake) jina tofauti na lake.Mpenzi wangu anaitwa Suzie afu yeye amemsevu SAM,kwanini?
Nikajua Kuna kitu kitakuwa kinaendelea Kati ya Hawa wawili.
Brother aliporudi ndani nikamwambia simu yake ilikuwa inaita akaichukua akaona missed call akasema this is confidential akatoka nje akampigia.Waliongea muda mrefu Sana nami nikawa nimechanganyikiwa mazima Moyo ukaanza kutetemeka Hadi nikashindwa kuendelea kunywa chai.
Aliporudi ndani nilijifanya sijui kinachoendelea nikachora plan ya kumuomba simu yake niujue ukweli wote.Nilianza kuzuga zuga kwamba nahitaji kuongea na mshikaji wangu mmoja nifanye naye biashara fulani muhimu kbsa ila Sina vocha kwenye simu.
Nikamwambia mdogo wangu Kama Ana credit kwenye simu yake anipe japo kwa dakika tano nionge na jamaa aje tufanye biashara.Bro hakumaind Sana akachukua simu akaweka password akanikabidhi nikatoka nje.
Moja kwa Moja nilingia kwenye what's up yake nikafungua chats za Sam( ambaye ndio mpenzi wangu Sasa). Aisee nilihisi nimepigwa na kitu kizoto kichwani mwangu baada ya kusoma baadhi ya charts Kati ya mdogo wangu na Mpenzi wangu.
Nilikugundua Hawa wawili Wana mahusiano ya kimapenzi yaliyo serious kbsa.Texts za mahaba na picha za uchi ndo zimesheheni kwenye what's ya ndugu yangu.Mpaka wakaelezana walivyoenjoy sex kipindi fulani [emoji24][emoji24][emoji24]
Nilibujikwa na machozi mengi Sana mixer kosononeja moyono baada ya kukutana na Mambo ambayo kamwe sikuwahi tarajia kama yanaweza kutokea.Nilifuta machozi yangu nikaosha uso ili kuficha sonona yangu.Nilimrudishia simu yake nikatoka upesi huku natetemeka Sana.
Kiukweli Nina hasira nyingi Sana kwa ndugu baada ya kugundua unyama anaonifanyia na Mpenzi wangu.Nawaza Mambo mengi kichwani na nimekosa amani ya moyoni kbsa.Muda huu nipo kwenye baa fulani kwenye mtaa najianda kuagiza pombe ninywe nilewe nijaribu kupoza maumivu ninayohisi pindi nitakapomaliza kuiwasilisha hii thread kwenu Wana JF mnipe ushauri.
Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu.Waliowahi kupatwa na maumivu ya mapenzi bila Shaka wanajua magumu ninayopitia muda huu.
Akili zimesimama,Moyo unauma,kichwa kinaumwa na mwili unatetemeka.Bado nampenda Sana na kumuhitaji mpenzi wangu ila Niko njia panda sijui nifanyeje tu.
Ushauri wenu utanifaa zaidi katika huu msala nilionao.
#KataaWahuni.Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah......kitu kizuri mtu hula na nduguye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Dah......kitu kizuri mtu hula na nduguye 🤣🤣🤣🤣🤭
Kusononeka moyoniNilibujikwa na machozi mengi Sana mixer kosononeja moyono baada ya kukutana na Mambo ambayo kamwe sikuwahi tarajia kama yanaweza kutokea.Nilifuta machozi yangu nikaosha uso ili kuficha sonona yangu.Nilimrudishia simu yake nikatoka upesi huku natetemeka Sana.
Oya we mzee mbona umesusa uzi? Ushajiua nini?Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu.
Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu ninayempenda kwa dhati Sana.Kwa hyo Naomba mnishauri vizuri baada ya kusoma kisa changu kifuatacho.
Nina mpenzi wangu mwenye miaka 24 na nimedate naye kwa muda wa miezi Saba Sasa.Ni mwanamke ambaye ninampenda kea dhati yangu yote na nilikuwa na malengo makubwa Sana naye ikiwemo ndoa.
Tumekuwa tunapendana Sana na Mara nyingi anakujaga home kwetu kunitembelea mixer kutangamana na familia yangu( ndugu na wazazi wangu).
Alijenga mazoea makubwa Sana na familia yangu hasa ndugu yangu mdogo wa kiume ( ninamzidi na miaka 4) Hadi wakafikia hatua ya kubadilishiana mawasiliano wakawa wanaongea kwa pigo za kishemeji shemeji.
Hilo sikuwa na tatizo nalo maana nilijua huyu Ni ndugu yangu mdogo namwaminia kwahyo sikuwahi waza kwamba anaweza date na demu wangu.
Huyu mpenzi wangu nilikuwa nampenda kwa dhati Sana na toka nianze kudate naye Wala sijawahi mcheat na demu mwingine.Nilikuwa namprovaidia Kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kutoka kwa mpenzi wake.Nilikuwa namtazamia kula yake,mavazi,nauli,hela ya saloon,namuungia bundle na vocha kwenye simu yake,namtoa out mixer hela ya matumizi mengine ya kawaida.Chumbani Napo nilikuwa Nampa tango Yaani nilikuwa napiga shoo za nguvu Hadi ananistukia.Kwahyo ninaweza kusema kwamba mpaka muda huu sijawahi mzingua kwa lolote.
Naye hakuwahi kuonesha ishara za kudate na mwanaume mwingine tofauti na Mimi mpaka leo nilipogundua kwamba anadate na mdogo wangu[emoji24][emoji24][emoji24] Leo mida ya asubuhi tulikuwa sebuleni kwa mama tunashusha kiamsha kinya mixer kupiga story za matukio.Mdogo wangu alikuwa amekaa mkabala na Mimi na simu yake alikuwa ameiweka juu ya meza.
Sasa kipindi tunaendelea kunywa chai alikuja rafiki yake akamwita nje waongee kdgo.Alipotoka ghafla simu yake ikaanza kuita nikaona jina imeandika " SAM" afu number Nikaona ni ya huyo mpenzi wangu kbsa.Nilishtuka Sana na nikaanza kujiuliza kwanini mdogo amsevu mpenzi wangu( shemeji yake) jina tofauti na lake.Mpenzi wangu anaitwa Suzie afu yeye amemsevu SAM,kwanini?
Nikajua Kuna kitu kitakuwa kinaendelea Kati ya Hawa wawili.
Brother aliporudi ndani nikamwambia simu yake ilikuwa inaita akaichukua akaona missed call akasema this is confidential akatoka nje akampigia.Waliongea muda mrefu Sana nami nikawa nimechanganyikiwa mazima Moyo ukaanza kutetemeka Hadi nikashindwa kuendelea kunywa chai.
Aliporudi ndani nilijifanya sijui kinachoendelea nikachora plan ya kumuomba simu yake niujue ukweli wote.Nilianza kuzuga zuga kwamba nahitaji kuongea na mshikaji wangu mmoja nifanye naye biashara fulani muhimu kbsa ila Sina vocha kwenye simu.
Nikamwambia mdogo wangu Kama Ana credit kwenye simu yake anipe japo kwa dakika tano nionge na jamaa aje tufanye biashara.Bro hakumaind Sana akachukua simu akaweka password akanikabidhi nikatoka nje.
Moja kwa Moja nilingia kwenye what's up yake nikafungua chats za Sam( ambaye ndio mpenzi wangu Sasa). Aisee nilihisi nimepigwa na kitu kizoto kichwani mwangu baada ya kusoma baadhi ya charts Kati ya mdogo wangu na Mpenzi wangu.
Nilikugundua Hawa wawili Wana mahusiano ya kimapenzi yaliyo serious kbsa.Texts za mahaba na picha za uchi ndo zimesheheni kwenye what's ya ndugu yangu.Mpaka wakaelezana walivyoenjoy sex kipindi fulani [emoji24][emoji24][emoji24]
Nilibujikwa na machozi mengi Sana mixer kosononeja moyono baada ya kukutana na Mambo ambayo kamwe sikuwahi tarajia kama yanaweza kutokea.Nilifuta machozi yangu nikaosha uso ili kuficha sonona yangu.Nilimrudishia simu yake nikatoka upesi huku natetemeka Sana.
Kiukweli Nina hasira nyingi Sana kwa ndugu baada ya kugundua unyama anaonifanyia na Mpenzi wangu.Nawaza Mambo mengi kichwani na nimekosa amani ya moyoni kbsa.Muda huu nipo kwenye baa fulani kwenye mtaa najianda kuagiza pombe ninywe nilewe nijaribu kupoza maumivu ninayohisi pindi nitakapomaliza kuiwasilisha hii thread kwenu Wana JF mnipe ushauri.
Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu.Waliowahi kupatwa na maumivu ya mapenzi bila Shaka wanajua magumu ninayopitia muda huu.
Akili zimesimama,Moyo unauma,kichwa kinaumwa na mwili unatetemeka.Bado nampenda Sana na kumuhitaji mpenzi wangu ila Niko njia panda sijui nifanyeje tu.
Ushauri wenu utanifaa zaidi katika huu msala nilionao.
Nice Guys, finish Last.Huyu mpenzi wangu nilikuwa nampenda kwa dhati Sana na toka nianze kudate naye Wala sijawahi mcheat na demu mwingine.Nilikuwa namprovaidia Kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kutoka kwa mpenzi wake.Nilikuwa namtazamia kula yake,mavazi,nauli,hela ya saloon,namuungia bundle na vocha kwenye simu yake,namtoa out mixer hela ya matumizi mengine ya kawaida
Ahsante Sana mkuu kwa ushauri wako,Mungu na akubariki Sana.Ushauri wangu, pole najua ni ngumu sana kuwa na hii hali ila niamini Mungu ni Mkuu amekunusuru na mwanamke muovu ambeye angekuja kukuumiza akiwa ndani ya ndoa.
Kuna kitu huwa vijana mnakosea sana kwenye mahusiano, Lengo kubwa la kuwa wachumba ni kusomana kujuana vema ili kama kuna vijimambo visivyo vumilika unakutana navyo basi ndiyo fursa uliyo nayo ya kuachana na Mchumba wako na sio wakati wa ndoa.
Kwenye uchumba kuna mambo ambayo unapaswa kuya seti pamoja kwa level hiyo ya uchumba na kuna mambo ambayo mnayaseti mkiwa na ndoa, inaonekana wewe uliruka hatua moja ukaenda ya mbele.
Kipindi cha uchumba ndicho kipindi ambacho unatakiwa umpime mchumba wako kwa nyanja zote, uaminifu, upendo, mahusiano na watu, wivu, uchoyo na ndio kipindi cha kumjaribu uwaminifu wake kwa mfanyia visa, ndio wakati wa kugombana sana.
Sasa wewe Mungu kakuonyesha panapovuja wewe badala ya kutoa shukrani una lialia huo ni udhaifu mkubwa sana.
Kaa chini mpige chini halafu usimwambie ndugu yako atasikia kupitia kwake
Wala, nachukua ushauri wenu mkuuOya we mzee mbona umesusa uzi? Ushajiua nini?
Mkuu akishajiua mwambie aniambie nimshauri maana kama ni utoto na ushamba,Nice Guys, finish Last.
Usirudie huo Ujinga huko unakoenda,,, Hao kenge hawana jema,, fanya vile utavoona wewe inakufaaaa...
Kingine unasema unawaza ujiue..??? Unataka kuthibitishia Dunia kuwa Wazazi wako walilea PUMBAVU moja hivi..
Acha ufalla na kuendekeza mapenzi,, hama nyumbani... Mtaani kwenye utafutaji kuna stress nyingi mno,,hizo zikikukuta si ndio utauza tiGo kabisa,,
Achana na huyo mwanamke au kubali kuendelea kula na mdogo wako,, Mtu isipomfaa akili yake, basi utamdhuru ujinga wake.
Narudia tena Dogo achana na mawazo ya kujiua,, umenitia hasira sana natamani nikuzabe makofi,,watu wanapammbania uhai humu kwenye hospital halafu wewe kenge unataka kujiua kisa tundu katikati ya miguu ya Demu,, Pumbavu kweli wewe...
Ukiona hii ni ngumu kuitafuna, basi jitahidi usiimeze haraka.....
Dah.....Mimi sijaona ubaya wowote hapo 🤣🤣🤣🤣Fala weye unaongea utadhani mazuri
Mengine sikwambii mfano mimi maadui zangu nina 5-10yrs za kuwadhuru na kuwangamiza ila kwa sasa hakuna ajuae ninalopanga na naishi nao normal tu kwa sasa ni methods nshazipanga kbsa.
The mamba the lion hybrid
Ukweli ni kuwa anakuwa sio rafiki anakuwa ni mtu mwenye wivu na wewe ila amepata hifadhi ya ukaribu na wewe, au yupo karibu kwa sababu kuna unafuu unaupata kwako au kampani,Hivi kwanini lazima rafiki yako/zako baadae wageuke kuwa your enemies, nlikua nadhan sitoweza pata hao adui lakin yule ambae sijamtegemea ndio kawa adui eti
ukweli ni kuwa anakuwa sio rafiki anakuwa ni mtu mwenye wivu na wewe ila amepata hifadhi ya ukaribu na wewe, au yupo karibu kwa sababu kuna unafuu unaupata kwako au kampani,