Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu.Waliowahi kupatwa na maumivu ya mapenzi bila Shaka wanajua magumu ninayopitia muda huu
Seriously?

Ujiue kwa ajili ya mwanamke asiejiheshimu?

Asiejithamini?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] niliposoma apo kwamba unataka kunywa sumu ufe nikaangua kicheko hatrii
 
Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu.

Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu ninayempenda kwa dhati Sana.Kwa hyo Naomba mnishauri vizuri baada ya kusoma kisa changu kifuatacho.

Nina mpenzi wangu mwenye miaka 24 na nimedate naye kwa muda wa miezi Saba Sasa.Ni mwanamke ambaye ninampenda kea dhati yangu yote na nilikuwa na malengo makubwa Sana naye ikiwemo ndoa.

Tumekuwa tunapendana Sana na Mara nyingi anakujaga home kwetu kunitembelea mixer kutangamana na familia yangu( ndugu na wazazi wangu).

Alijenga mazoea makubwa Sana na familia yangu hasa ndugu yangu mdogo wa kiume ( ninamzidi na miaka 4) Hadi wakafikia hatua ya kubadilishiana mawasiliano wakawa wanaongea kwa pigo za kishemeji shemeji.

Hilo sikuwa na tatizo nalo maana nilijua huyu Ni ndugu yangu mdogo namwaminia kwahyo sikuwahi waza kwamba anaweza date na demu wangu.

Huyu mpenzi wangu nilikuwa nampenda kwa dhati Sana na toka nianze kudate naye Wala sijawahi mcheat na demu mwingine.Nilikuwa namprovaidia Kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kutoka kwa mpenzi wake.Nilikuwa namtazamia kula yake,mavazi,nauli,hela ya saloon,namuungia bundle na vocha kwenye simu yake,namtoa out mixer hela ya matumizi mengine ya kawaida.Chumbani Napo nilikuwa Nampa tango Yaani nilikuwa napiga shoo za nguvu Hadi ananistukia.Kwahyo ninaweza kusema kwamba mpaka muda huu sijawahi mzingua kwa lolote.

Naye hakuwahi kuonesha ishara za kudate na mwanaume mwingine tofauti na Mimi mpaka leo nilipogundua kwamba anadate na mdogo wangu[emoji24][emoji24][emoji24] Leo mida ya asubuhi tulikuwa sebuleni kwa mama tunashusha kiamsha kinya mixer kupiga story za matukio.Mdogo wangu alikuwa amekaa mkabala na Mimi na simu yake alikuwa ameiweka juu ya meza.

Sasa kipindi tunaendelea kunywa chai alikuja rafiki yake akamwita nje waongee kdgo.Alipotoka ghafla simu yake ikaanza kuita nikaona jina imeandika " SAM" afu number Nikaona ni ya huyo mpenzi wangu kbsa.Nilishtuka Sana na nikaanza kujiuliza kwanini mdogo amsevu mpenzi wangu( shemeji yake) jina tofauti na lake.Mpenzi wangu anaitwa Suzie afu yeye amemsevu SAM,kwanini?

Nikajua Kuna kitu kitakuwa kinaendelea Kati ya Hawa wawili.

Brother aliporudi ndani nikamwambia simu yake ilikuwa inaita akaichukua akaona missed call akasema this is confidential akatoka nje akampigia.Waliongea muda mrefu Sana nami nikawa nimechanganyikiwa mazima Moyo ukaanza kutetemeka Hadi nikashindwa kuendelea kunywa chai.

Aliporudi ndani nilijifanya sijui kinachoendelea nikachora plan ya kumuomba simu yake niujue ukweli wote.Nilianza kuzuga zuga kwamba nahitaji kuongea na mshikaji wangu mmoja nifanye naye biashara fulani muhimu kbsa ila Sina vocha kwenye simu.

Nikamwambia mdogo wangu Kama Ana credit kwenye simu yake anipe japo kwa dakika tano nionge na jamaa aje tufanye biashara.Bro hakumaind Sana akachukua simu akaweka password akanikabidhi nikatoka nje.

Moja kwa Moja nilingia kwenye what's up yake nikafungua chats za Sam( ambaye ndio mpenzi wangu Sasa). Aisee nilihisi nimepigwa na kitu kizoto kichwani mwangu baada ya kusoma baadhi ya charts Kati ya mdogo wangu na Mpenzi wangu.

Nilikugundua Hawa wawili Wana mahusiano ya kimapenzi yaliyo serious kbsa.Texts za mahaba na picha za uchi ndo zimesheheni kwenye what's ya ndugu yangu.Mpaka wakaelezana walivyoenjoy sex kipindi fulani [emoji24][emoji24][emoji24]

Nilibujikwa na machozi mengi Sana mixer kosononeja moyono baada ya kukutana na Mambo ambayo kamwe sikuwahi tarajia kama yanaweza kutokea.Nilifuta machozi yangu nikaosha uso ili kuficha sonona yangu.Nilimrudishia simu yake nikatoka upesi huku natetemeka Sana.

Kiukweli Nina hasira nyingi Sana kwa ndugu baada ya kugundua unyama anaonifanyia na Mpenzi wangu.Nawaza Mambo mengi kichwani na nimekosa amani ya moyoni kbsa.Muda huu nipo kwenye baa fulani kwenye mtaa najianda kuagiza pombe ninywe nilewe nijaribu kupoza maumivu ninayohisi pindi nitakapomaliza kuiwasilisha hii thread kwenu Wana JF mnipe ushauri.

Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu.Waliowahi kupatwa na maumivu ya mapenzi bila Shaka wanajua magumu ninayopitia muda huu.

Akili zimesimama,Moyo unauma,kichwa kinaumwa na mwili unatetemeka.Bado nampenda Sana na kumuhitaji mpenzi wangu ila Niko njia panda sijui nifanyeje tu.

Ushauri wenu utanifaa zaidi katika huu msala nilionao.
Kwanza shukuru Mungu kakuonyesha bado mapema boc halafu kizuri kula na ndugu yako bhana
 
Hiyo akili unayosema imesimama umaificha wapi, maana hapa ni kama huna kabisa.!
 
Tusiache kuchakata mbususu zipo nyingi sana tusitegeane mazee...

Huyo piga chini tafuta mbususu nyingine na mpe dogo kongole kwa kukusaidia mapema kujua tabia za demu wako..
 
Kuna kina sisi mawomanazer halafu kuna nyie wazee wa kupenda.

Kwa mimi ntaumia kwa siku moja tu, na wala hatajua dogo wala demu. Ila tu ni kua dem hatakua kwenye mipango yangu atakua ni kipoozeo tu. Na dogo naweza tu kumchana kua aache umalaya na aache kutaman mashemej zake japo sitamwambia ni shemej yupi(atajiongeza).

Sasa iyo ishu kwako ni complicated kidogo coz ni mzee wa kupenda na kuoa. Ishu ya kujiua iweke pending kwanza hiyo siyo sababu ya ww kujiua, subiri subiri sababu nyingine nyingine labda wana jf wataweza kukuruhusu ujiue kweli kama sababu zako zitakua na mashiko.

Achana na huyo dem wala usijiingize kwenye mahusiano mapya kwa sasa. Mwambie kile umejua pia mchane na dogo kile umejua, ila yote kwa yote usimuwekee chuki mdogo wako huyo ni ndguguyo. Kama unaweza pia haya mambo wala usiyafikishe ngazi za juu( kwa wazazi).
Kikubwa uachane na huyo manzi kama umethibitisha mwenyewe baso hata aombe msamaha vipi, hata ajiwekee kisu shingoni kua ukikataa kumsamehe basi anajiua we mwache ajiue tu( kama anaweza kujiua yeye na nafsi yake atashindwa nini kukuua wewe usie nafsi yake), so mwache ajiue. Kaza roho USIRUDIANE NAE KAMWE
 
Kama Vp mpige three some na dogo waswahili wanasema kizuri kula na nduguyo
3somes itamsaidia sana kupunguza sonona ya nafsi na inawezekana akaifurahia zaidi kuliko hata alivyokua anatomber mwenyewe.
Huyo tayari ameshakua ni demu wa familia, kama una ndugu mwingine wa kiume muunganishe na yeye mfaidi wote.
Binafsi ingekua ni mimi ningemtafuta mdogo wa kike wa huyo binti ila kama hana hata mama yake au shangazi yake ingependeza zaidi.
 
Pole sana achana nae tu tafuta mwingine
Hamna kuachana nae, huyo huyo tunatomber tu wote tena 3somes inapendeza zaidi, na kama ana mdogo wake wa kike nae tunamkaribisha kwenye familia.
 
Hehehehehehe, hapana asifanye hivyo kwa usalama wa nafsi yake
 
Au humkuni vizuri huyo bint akaona ajarivu upande wa pili
 
Hapa kweli wewew km mwanadamu umejitahidi. Hayo mengine ni shetani tu sasa...
Huyu mpenzi wangu nilikuwa nampenda kwa dhati Sana na toka nianze kudate naye Wala sijawahi mcheat na demu mwingine.Nilikuwa namprovaidia Kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kutoka kwa mpenzi wake.Nilikuwa namtazamia kula yake,mavazi,nauli,hela ya saloon,namuungia bundle na vocha kwenye simu yake,namtoa out mixer hela ya matumizi mengine ya kawaida.Chumbani Napo nilikuwa Nampa tango Yaani nilikuwa napiga shoo za nguvu Hadi ananistukia.Kwahyo ninaweza kusema kwamba mpaka muda huu sijawahi mzingua kwa lolote.
 
Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu.

Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu ninayempenda kwa dhati Sana.Kwa hyo Naomba mnishauri vizuri baada ya kusoma kisa changu kifuatacho.

Nina mpenzi wangu mwenye miaka 24 na nimedate naye kwa muda wa miezi Saba Sasa.Ni mwanamke ambaye ninampenda kea dhati yangu yote na nilikuwa na malengo makubwa Sana naye ikiwemo ndoa.

Tumekuwa tunapendana Sana na Mara nyingi anakujaga home kwetu kunitembelea mixer kutangamana na familia yangu( ndugu na wazazi wangu).

Alijenga mazoea makubwa Sana na familia yangu hasa ndugu yangu mdogo wa kiume ( ninamzidi na miaka 4) Hadi wakafikia hatua ya kubadilishiana mawasiliano wakawa wanaongea kwa pigo za kishemeji shemeji.

Hilo sikuwa na tatizo nalo maana nilijua huyu Ni ndugu yangu mdogo namwaminia kwahyo sikuwahi waza kwamba anaweza date na demu wangu.

Huyu mpenzi wangu nilikuwa nampenda kwa dhati Sana na toka nianze kudate naye Wala sijawahi mcheat na demu mwingine.Nilikuwa namprovaidia Kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kutoka kwa mpenzi wake.Nilikuwa namtazamia kula yake,mavazi,nauli,hela ya saloon,namuungia bundle na vocha kwenye simu yake,namtoa out mixer hela ya matumizi mengine ya kawaida.Chumbani Napo nilikuwa Nampa tango Yaani nilikuwa napiga shoo za nguvu Hadi ananistukia.Kwahyo ninaweza kusema kwamba mpaka muda huu sijawahi mzingua kwa lolote.

Naye hakuwahi kuonesha ishara za kudate na mwanaume mwingine tofauti na Mimi mpaka leo nilipogundua kwamba anadate na mdogo wangu[emoji24][emoji24][emoji24] Leo mida ya asubuhi tulikuwa sebuleni kwa mama tunashusha kiamsha kinya mixer kupiga story za matukio.Mdogo wangu alikuwa amekaa mkabala na Mimi na simu yake alikuwa ameiweka juu ya meza.

Sasa kipindi tunaendelea kunywa chai alikuja rafiki yake akamwita nje waongee kdgo.Alipotoka ghafla simu yake ikaanza kuita nikaona jina imeandika " SAM" afu number Nikaona ni ya huyo mpenzi wangu kbsa.Nilishtuka Sana na nikaanza kujiuliza kwanini mdogo amsevu mpenzi wangu( shemeji yake) jina tofauti na lake.Mpenzi wangu anaitwa Suzie afu yeye amemsevu SAM,kwanini?

Nikajua Kuna kitu kitakuwa kinaendelea Kati ya Hawa wawili.

Brother aliporudi ndani nikamwambia simu yake ilikuwa inaita akaichukua akaona missed call akasema this is confidential akatoka nje akampigia.Waliongea muda mrefu Sana nami nikawa nimechanganyikiwa mazima Moyo ukaanza kutetemeka Hadi nikashindwa kuendelea kunywa chai.

Aliporudi ndani nilijifanya sijui kinachoendelea nikachora plan ya kumuomba simu yake niujue ukweli wote.Nilianza kuzuga zuga kwamba nahitaji kuongea na mshikaji wangu mmoja nifanye naye biashara fulani muhimu kbsa ila Sina vocha kwenye simu.

Nikamwambia mdogo wangu Kama Ana credit kwenye simu yake anipe japo kwa dakika tano nionge na jamaa aje tufanye biashara.Bro hakumaind Sana akachukua simu akaweka password akanikabidhi nikatoka nje.

Moja kwa Moja nilingia kwenye what's up yake nikafungua chats za Sam( ambaye ndio mpenzi wangu Sasa). Aisee nilihisi nimepigwa na kitu kizoto kichwani mwangu baada ya kusoma baadhi ya charts Kati ya mdogo wangu na Mpenzi wangu.

Nilikugundua Hawa wawili Wana mahusiano ya kimapenzi yaliyo serious kbsa.Texts za mahaba na picha za uchi ndo zimesheheni kwenye what's ya ndugu yangu.Mpaka wakaelezana walivyoenjoy sex kipindi fulani [emoji24][emoji24][emoji24]

Nilibujikwa na machozi mengi Sana mixer kosononeja moyono baada ya kukutana na Mambo ambayo kamwe sikuwahi tarajia kama yanaweza kutokea.Nilifuta machozi yangu nikaosha uso ili kuficha sonona yangu.Nilimrudishia simu yake nikatoka upesi huku natetemeka Sana.

Kiukweli Nina hasira nyingi Sana kwa ndugu baada ya kugundua unyama anaonifanyia na Mpenzi wangu.Nawaza Mambo mengi kichwani na nimekosa amani ya moyoni kbsa.Muda huu nipo kwenye baa fulani kwenye mtaa najianda kuagiza pombe ninywe nilewe nijaribu kupoza maumivu ninayohisi pindi nitakapomaliza kuiwasilisha hii thread kwenu Wana JF mnipe ushauri.

Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu.Waliowahi kupatwa na maumivu ya mapenzi bila Shaka wanajua magumu ninayopitia muda huu.

Akili zimesimama,Moyo unauma,kichwa kinaumwa na mwili unatetemeka.Bado nampenda Sana na kumuhitaji mpenzi wangu ila Niko njia panda sijui nifanyeje tu.

Ushauri wenu utanifaa zaidi katika huu msala nilionao.
Huu sio muandiko wa mtu anayetetemeka kwa hasira......!
 
Back
Top Bottom