Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

pombe siyo dawa ya kuondoa mawazo

huyo hafai kuwa mke

mshukuru mungu kakuonesha mapema

na ukinga’ang’aniza awe mke atakuja kukuzalia watoto wa huyo mdogo wako na aseme ni wako

Be a man… wanawake mbona wako wengi mno
au hujiamini mkuu
 
(Natamani ninywe sumu nikafe tu )

Ukinywa sumu umewapa kibali was single na yao huo ni udhaifu mkubwa piga moyo konde Anza Maisha mapya
 
Acha kuwaza kujiua.

Dunia tamu Sana, jifanye kama hayamambo hayakuwepo yaani Anza upya kabisa ,

Futa namba za huyo Malaya halafu toka mazingara ya home ili usije ukaumizana na Ndugu yako.
 
hahaha[emoji701][emoji727][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mwanamke niliwahi date nae naishi na wadogo zangu....hee akaanza waekea mazingira hayohayo....kufupisha huyo mwanamke ndio mshenzi hata kama asingekua mdogo wako hatoshindwa tembea na Ndugu au rafiki zako....piga chini
 
Kuna familia bana hapa duniani, yani dem wangu nimlete kwa wazazi na ndugu zangu, anakuja na kuondoka bila shida huku kila mtu anamjua mzinifu mwenzangu.

Heshima na aibu hamna kwenye hiyo familia ndio maana dogo anafanya tu na shemeji yake! Heshimuni familia yenu.
 
Kuwa na moyo wa kiume, mchane dogo kuwa umeshajua kila kitu kwahiyo umemuachia aendelee na huyo malaya.
 
Nashukuru Sana kwa ushauri wako mkuu [emoji120]
 
Mleta mada unachekesha, yani unasema wewe na demu wako mnapendana hapo hapo demu wako analiwa na nduguyo.

Umejiuliza ilikuwaje mpaka demu anahamua kumvulia chupi nduguyo?

Huyo alikuwa anakuchezea akili tu, hakuwa na penzi nawe.
 


Unywe sumu ufe sababu ya ujinga wa huyo mwanamke!?

Nilijua ungemshukuru Mungu kwa kukuonyesha mapema huyo sio mwanamke sahihi wala hafai kuwa mke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…