Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kweli uaminifu kwa kiasi fulani utapungua mkuu ila kwa upande wa pili huyo mume anatakiwa alifikirie na hili swala la uhitaji wa ndoa kwa wanawake, huenda ikawa hiyo nayo ndio sababu ya mwanamke kuwa msiri ili apate anachohitaji ila baada ya hapo huenda angemwambia.Familia kuongezeka yaweza kuwa tatizo, lakini tatizo kubwa hapa ni kuaminiana, sidhani kama mtoa mada atamuamini huyo mkewe kama alivyokuwa akimuamini kabla ya kujua kuhusu hao watoto.