Kweli uaminifu kwa kiasi fulani utapungua mkuu ila kwa upande wa pili huyo mume anatakiwa alifikirie na hili swala la uhitaji wa ndoa kwa wanawake, huenda ikawa hiyo nayo ndio sababu ya mwanamke kuwa msiri ili apate anachohitaji ila baada ya hapo huenda angemwambia.Familia kuongezeka yaweza kuwa tatizo, lakini tatizo kubwa hapa ni kuaminiana, sidhani kama mtoa mada atamuamini huyo mkewe kama alivyokuwa akimuamini kabla ya kujua kuhusu hao watoto.
kiazi mbatata kabisaPole sana Mkuu sababu kwa usawa huu halafu itokee ghafla familia inaongezeka naona ni bonge la mtihani aiseee. Hapo hakuna jinsi kaa naye mjue namna ya kutunza hao watoto na sio kuchukua maamuzi ya kuachana sababu ndio wanavyofanya wanaume walio wengi pindi vinapotokea vitu kama hivyo.
Ila huyo mwanamke naye kiazi.
Ni vizuri kuangalia mambo kwa mtazamo chanya lakini pia ni vyema kuangalia mambo katika uhalisia wake mtu asiumie mbele ya safari.Kweli uaminifu kwa kiasi fulani utapungua mkuu ila kwa upande wa pili huyo mume anatakiwa alifikirie na hili swala la uhitaji wa ndoa kwa wanawake, huenda ikawa hiyo nayo ndio sababu ya mwanamke kuwa msiri ili apate anachohitaji ila baada ya hapo huenda angemwambia.
Hahahaaaa. Ujue sijacheka tangia asubuhi ila kwa hapa umenifanya nicheke.kiazi mbatata kabisa
Sawa Mkuu ila naona ameshakosea hakuna budi akaelewana na huyo mume wake nini cha kufanya, pia nina imani hili pia ni funzo pia kwa wengine wenye tabia kama yake ya kuficha ficha.Ni vizuri kuangalia mambo kwa mtazamo chanya lakini pia ni vyema kuangalia mambo katika uhalisia wake mtu asiumie mbele ya safari.
Na funzo kwa wote kupata mda mzuri wa kumfahamu mwenzio kabla ya kufunga ndoa/kuamua kuishi pamoja.Sawa Mkuu ila naona ameshakosea hakuna budi akaelewana na huyo mume wake nini cha kufanya, pia nina imani hili pia ni funzo pia kwa wengine wenye tabia kama yake ya kuficha ficha.
Kweli kabisa mkuu.Na funzo kwa wote kupata mda mzuri wa kumfahamu mwenzio kabla ya kufunga ndoa/kuamua kuishi pamoja.
Kuna mambo ukiijipa muda na kupata watu sahihi utayafahamu kuhusu mwenzako kiliko kukurupuka na kuja kukupa "frustation" ukiwa ndani ya ndoa.
Pole sana, wanawake wakiamua wanaweza bila kuwezeshwa,Afadhali wewe umekuja kuambiwa baada ya miezi minne.Lakini ana watoto wawili, na nimekaa nae miezi minne lakini sikuwahi kujua kama ana watoto,
Nimekuja kujua kama ana watoto baada ya mtoto wake kuugua na kuhitaji msaada wangu kwaajili ya matibabu,
Upendo umepungua from higher to lower point,
Naomba kuwasilisha ushauri wenu ni muhimu wadau.
Akili ndefuuuu
Upoo? nakusabahi sanadah.....huu msala.....
sasa alificha watoto wa nini.......?......
Big up sanaHuyu mwanamke anakupenda sana, kukuficha kuhusu watoto aliogopa kukupoteza na inaelekea hana confidence na life.
Mueleze haya uliyoandika hapa na myamalize kwa mechi bora kabisa weekend hii.
Kumbuka duniani hakuna malaika na hata wewe una mapungufu yako.
Msaidie na mpe upendo Wa dhati mtoto Wa mwenzio ni wakoLakini ana watoto wawili, na nimekaa nae miezi minne lakini sikuwahi kujua kama ana watoto,
Nimekuja kujua kama ana watoto baada ya mtoto wake kuugua na kuhitaji msaada wangu kwaajili ya matibabu,
Upendo umepungua from higher to lower point,
Naomba kuwasilisha ushauri wenu ni muhimu wadau.
Akili ndefuuuuhttp://
Lakini ana watoto wawili, na nimekaa nae miezi minne lakini sikuwahi kujua kama ana watoto.
mwaka wa nne wa ndoa yako ndio uje uyaseme hayo
Kasema miezi 4mwaka wa nne wa ndoa yako ndio uje uyaseme hayo
Kama ni mimi hapo hakuna kuyamaliza wala nini nampiga chini,
Yeah nampiga chini watoto ninkitu kikubwa sana ilitakiwa niwe na taarifa toka mwanzo,
She is a killer huyo anaweza kukuua kama aliweza kuficha jambo kubwa na muhimu kama hilo kwa mustakabal wa ndoa yenu,
Alifikiria haitafahamika mwanamke huyo piga chini