Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Labda una kaumbo kadogo ndiyo maana anakufananisha na Kitoto cha Mbuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kabila gani huyo manzi yako ?Katika pitapita kwenye maeneo ya ofisi ya mpenzi wangu, nikasikia wananiteta, ''kimburu wangu ananivuruga kweli, hataki kutulia na mimi, kila wakati ni migogoro tu''
Wenzie wakamuuliza, kimburu ndio nani; ndipo aliponitaja equation x.
Baada ya kusikia hayo maneno, hata sikuingia ofisini kwake, ikabidi niendelee na mihangaiko yangu.
Hapa bado natafakari, kwa nini ananiita mimi kimburu?
Nipeni ushauri wakuu, au na nyie wapenzi wenu wanawaita majina ya ajabu ajabu wakiwa na marafiki zao?
Kimburu kwa kichaga ni KimbuziKwani hiyo kimburu maana yake ni nini? Usikute inamaana nzuri labda 😆
Ilo jina sijui maana yake ila haliwezi kua nzuri... Jina kishaanza na KI unategemea nnKwani hiyo kimburu maana yake ni nini? Usikute inamaana nzuri labda 😆
😅😅 kwahiyo ukiona imeanza na ki tu ujue lazima kiwe kitu cha ajabu ajabu sioIlo jina sijui maana yake ila haliwezi kua nzuri... Jina kishaanza na KI unategemea nn
Ni mnyama Fulani anafanana na ndezi!Kwani hiyo kimburu maana yake ni nini? Usikute inamaana nzuri labda 😆
Anhaa kumbe, at least mwana amelijua jina lake sisi wengine sijui tunaitwaga kina nani huko hahahaaaNi mnyama Fulani anafanana na ndezi!
Kimburu = ZuzuKwani hiyo kimburu maana yake ni nini? Usikute inamaana nzuri labda 😆