NIMEGUNDUA: Mtoto wa Kitanzania hawezi akanyooka kimaadili kwa kumuhutubia tu kwa maneno

NIMEGUNDUA: Mtoto wa Kitanzania hawezi akanyooka kimaadili kwa kumuhutubia tu kwa maneno

Chukua Huu Ushauri
Mtoto Unampa Uji Hataki, Unammenyea Hataki
Unampa Uji Kwenye Kikombe Anatupa
Ujue Mtoto Ana Kiburi

Unamzabua Kofi Utaona Atakabugia Huo Uji
Ndiyo Ukweli Wenyewe
By Mzilankende Mnyago
 
Sio watoto tu Tanzania hii ukiwa mstaarabu kuanzia kazini na mtaani utapata shida sana na mambo kukugomea ila ukiwa mkali mambo yataenda, na hata kazini ukiwa boss ukawa fair watakuharibia kazi dawa ni kuwa na roho mbaya watu watakuheshimu.
In short bongo watu ni ka punda hawaendi bila mjeledi
[emoji28]point japo umetutusi kdgo[emoji109]
 
Back
Top Bottom