Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi


Mara nikastuka usingizini....hizi ndoto
πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€
 
Je wewe ulikuwa unanyonya? Kama siyo basi inaweza kuwa ndio sababu
Hata hivyo mwanaume kutembea na housegirl ni cha kawaida sana labda asiwe na mvuto.
 
House girl katoa uchi wake mwenyewe wewe unazimia?Una akili kweli wewe?kama ni ndoto amka uendelee na mambo yako,kama ni kweli muache aendelee kutumika,nawe naomba namba zako una nidhamu sana unanifaa!
 
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu nakunijali pia. Mimi nimefanya kazi na mume wangu pia anafanya ya selekalin kwaiyo nyumbani kwetu tunaishi namfanya kazi.

Mambo gani kutiana nyege asubuhi yote hii.
 
Ulikuwa chini ya uvungu wa kitanda cha house girl ukiugulia maumivuu kwa uliyo kuwa ukiyasikia yakiendelea kati ya mumeo na house girl,Ghafla ukazimia na hukujua kilicho kuwa kikiendelea na kujikuta uko hospitali.

JE, Walijuaje kuwa wewe uko chini ya uvungu na kugundua kuwa umezimia mpaka kukupeleka hospitali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…