Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,358
- 4,263
Nitumie namba yake PM utakuja kunishukuru baadae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio msagaji huyo alikaa muda mrefu bila kushiriki tendo kipindi cha utoto wake . Ipo namna ya kumsaidia kuacha matendo hayomsagaji uyo mpe talaKa
Asante ila umesahau hii mkuu 🤣Hizi habari wapelekee wakwe zako hatuna cha kukusaidia.
Kwanza wakati unaoa hukutushirikisha
***Mwisho, hapa tunapeana uzoefu tu kulingana na tatizo, muamuzi nitabaki kuwa mimi so don't panic, don't be emotional wala usitukane.... Jibu kulingana na uelewa wako.
Huyo sio msagaji asingevumilia kuishi bila kusagwa angekuwa mssgaji angejisaga hata kwa huyo mumewe bila mumewe kujua!Wacha nifatilie kuhusu hili pia japokuwa inaweza kuwa ngumu zaidi kung'amua
Nshawahi kufanya hivi kilichonikuta sasa, mbususu inakuwa imeshalowa sana, imepoa alafu mwanamke anakuwa hana ushirikiano kabisa kama ametoka kutumika. Mkuu tucheke tu hii si nzuri kabisa 😢Ulitakiwa hapo hapo upande kwa juu uanze kuisasambua mbususu mpaka majogoo.
Acha ujinga wewe mgonge mkojolee basi hayo mengine mwachie mwenyewe usijiumize kichwa chako,Kwanini naleta kwenu hili?
1. Mke wangu hapendi kufanya mapenzi sana, mashine napiga vizuri kabisa najiuliza kwanini apende kujichua?
2. Sababu ni mimi na je anaweza kuacha tabia hii?
3. Japokuwa kila mtu hupima makosa kwa namna yake nauliza kosa hili linafaa kumuacha?
Tatizo la usagaji ni kubwa sana kuliko watu wanavyodhani haya masex toys ukiambiwa watu wanaonunua huwezi kuamini ni watu tunaowaheshimu tena wengi wake za watu, dunia imechafuka sana, mimi kuna mama mmoja nilikuwa nasoma nae chuo kuna siku bahati mbaya mkoba wake aliuweka vibaya nikaona bonge la bolo nikasema dah sasa huyu huyo mume wake si atakuwa anajisumbua tu kama mtu kazoea midude mikubwa namna ileHabari wakuu!
It has been looong time sijatupia visa vyangu so siwezi kumbuka niliongea lini kuhusu hili ila nakumbuka ni humu humu JF nilipost kuhusu kuwa namashaka na mke wangu kuhusu tabia ya kujichua. Mada ilikuwa inahusu mke wangu hapendi kufanya mapenzi, let me dig in nitaweka link hapa hapa.
Sasa katika kuendelea kumfatilia nikawa najinyima usingizi na kuzuga nimelala, siku moja nikiwa nafatilia nakuangalia pirika zote nikiwa mkimya kabisa nisigundulike kama niko macho na niweze kunasa kila kitu nikaanza kuziona pirika, mke wangu akajilaza chali akiwa kajifunika, kwa mkono mmoja akaanza kujichezea nyeti zake. Nakuhakikishia hakuwa akijikuna maana niliona, nilisikia na nilimuumbua nikajikoholesha kikohozi kikavu ajue kabisa nipo macho. Akashtuka na kujirudisha katika hali ya kawaida, mi nikajikausha tukalala.
Kesho yake nikam'bana akaniomba msamaha na kuniahidi hatorudia na kweli hakurudia kwa wakati huo ila juzi hapa ameanza upya kwa ukimya zaid nisijue ila nshaona kila kitu, she's still masturbate!!!
Kwanini naleta kwenu hili?
1. Mke wangu hapendi kufanya mapenzi sana, mashine napiga vizuri kabisa najiuliza kwanini apende kujichua?
2. Sababu ni mimi na je anaweza kuacha tabia hii?
3. Japokuwa kila mtu hupima makosa kwa namna yake nauliza kosa hili linafaa kumuacha?
***Mwisho, hapa tunapeana uzoefu tu kulingana na tatizo, muamuzi nitabaki kuwa mimi so don't panic, don't be emotional wala usitukane.... Jibu kulingana na uelewa wako.
Wasalaam.
Pamoja na comments za kejeli naanza kupata maana, Asante sana mkuu. Nilikuwa na umuhimu wa kupost hili.Yaani kufanya mapenzi na mumewe hataki ila anapenda hyo tabia... Hii kisaikolojia tunamtafsiri huyu mtu pasi na shaka yoyote ile,kwamba huu mchezo aliuanza kabla hajaolewa.
Nini kilisababisha afanye hivyo?
Hapa kuna mazingira mawili;
,kwanza huwenda alikuwa anabanwa sana kipindi amevunja ungonkiasi cha kushindwa kuhimili hali aliyokuwa akijiskia na hivyo kupelekea kufanya anachokiendeleza mpaka leo.
Pili huwenda mazingira aliyokulia kulikuwa na watu wa namna hiyo kwahivyo aliiga tabia za watu wengine. Kwasababu kisaokilojia wanasema kila kitu kina chanzo chake.
SULUHISHO;
namna za kutatua tatizo lolote lazima ukutane na mtaalam wa mambo hayo hasa madaktari au wanasihi waliobobea kwenye maswala hayo. Kwa kufanya hivo,majadiliano baina ya mtaalam yoyote kati ya hao na mkeo na kwa maelezo atakayoyatoa kwa mtaalam kwa ukweli na uwazi wote bila kufich chochote,nakuhakikishia atasaidika sana.
ONYO;
mkuu kama wewe huna utaalam wa unasihi wa aina yoyote usimfanye wala kumuuliza historia ya hicho anachokifanya labda kama unataka kuachana nae ndyo unaweza kufanya questioning yoyote kwake kuhusu hilo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Piga chini
Habari wakuu!
It has been looong time sijatupia visa vyangu so siwezi kumbuka niliongea lini kuhusu hili ila nakumbuka ni humu humu JF nilipost kuhusu kuwa namashaka na mke wangu kuhusu tabia ya kujichua. Mada ilikuwa inahusu mke wangu hapendi kufanya mapenzi, let me dig in nitaweka link hapa hapa.
Sasa katika kuendelea kumfatilia nikawa najinyima usingizi na kuzuga nimelala, siku moja nikiwa nafatilia nakuangalia pirika zote nikiwa mkimya kabisa nisigundulike kama niko macho na niweze kunasa kila kitu nikaanza kuziona pirika, mke wangu akajilaza chali akiwa kajifunika, kwa mkono mmoja akaanza kujichezea nyeti zake. Nakuhakikishia hakuwa akijikuna maana niliona, nilisikia na nilimuumbua nikajikoholesha kikohozi kikavu ajue kabisa nipo macho. Akashtuka na kujirudisha katika hali ya kawaida, mi nikajikausha tukalala.
Kesho yake nikam'bana akaniomba msamaha na kuniahidi hatorudia na kweli hakurudia kwa wakati huo ila juzi hapa ameanza upya kwa ukimya zaid nisijue ila nshaona kila kitu, she's still masturbate!!!
Kwanini naleta kwenu hili?
1. Mke wangu hapendi kufanya mapenzi sana, mashine napiga vizuri kabisa najiuliza kwanini apende kujichua?
2. Sababu ni mini na je anaweza kuacha tabia hii?
3. Japokuwa kila mtu hupima makosa kwa namna yake nauliza kosa hili linafaa kumuacha?
***Mwisho, hapa tunapeana uzoefu tu kulingana na tatizo, muamuzi nitabaki kuwa mimi so don't panic, don't be emotional wala usitukane.... Jibu kulingana na uelewa wako.
Wasalaam.
Weka huruma mtumishi 😂Piga chini
Kajiambia tu mwenyewe.....Mashine unapiga vizuri..
Nani kakwambia?