Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hapana apigwe chini iwe fundisho kwa wote wanaojichuaWeka huruma mtumishi 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana apigwe chini iwe fundisho kwa wote wanaojichuaWeka huruma mtumishi 😂
Habari wakuu!
It has been looong time sijatupia visa vyangu so siwezi kumbuka niliongea lini kuhusu hili ila nakumbuka ni humu humu JF nilipost kuhusu kuwa namashaka na mke wangu kuhusu tabia ya kujichua. Mada ilikuwa inahusu mke wangu hapendi kufanya mapenzi, let me dig in nitaweka link hapa hapa.
Sasa katika kuendelea kumfatilia nikawa najinyima usingizi na kuzuga nimelala, siku moja nikiwa nafatilia nakuangalia pirika zote nikiwa mkimya kabisa nisigundulike kama niko macho na niweze kunasa kila kitu nikaanza kuziona pirika, mke wangu akajilaza chali akiwa kajifunika, kwa mkono mmoja akaanza kujichezea nyeti zake. Nakuhakikishia hakuwa akijikuna maana niliona, nilisikia na nilimuumbua nikajikoholesha kikohozi kikavu ajue kabisa nipo macho. Akashtuka na kujirudisha katika hali ya kawaida, mi nikajikausha tukalala.
Kesho yake nikam'bana akaniomba msamaha na kuniahidi hatorudia na kweli hakurudia kwa wakati huo ila juzi hapa ameanza upya kwa ukimya zaid nisijue ila nshaona kila kitu, she's still masturbate!!!
Kwanini naleta kwenu hili?
1. Mke wangu hapendi kufanya mapenzi sana, mashine napiga vizuri kabisa najiuliza kwanini apende kujichua?
2. Sababu ni mimi na je anaweza kuacha tabia hii?
3. Japokuwa kila mtu hupima makosa kwa namna yake nauliza kosa hili linafaa kumuacha?
***Mwisho, hapa tunapeana uzoefu tu kulingana na tatizo, muamuzi nitabaki kuwa mimi so don't panic, don't be emotional wala usitukane.... Jibu kulingana na uelewa wako.
Wasalaam.
Shukran Ironbutterfly 🍹.Umemaliza mkuu🙏uzi ufungwe.
mwanamke anakupa uchi kwa sababu zote isipo kuwa upendo utapiga24/7 na hafiki, mwanamke akimpemda mwanaume hata kama ni crush akimuona anae mpenda tu chupi inaloaKujichua ni ugonjwa wa Dunia.
Wewe hakikisha ukipiga mti hadi anafika kileleni.
Anakusaidia kazi, kumfanya mwanamke hadi afike kileleni ndio dawa ya hayo yote. Wala usijisikie vibaya.
Anacheza na clitoris huyo!!Habari wakuu!
It has been looong time sijatupia visa vyangu so siwezi kumbuka niliongea lini kuhusu hili ila nakumbuka ni humu humu JF nilipost kuhusu kuwa namashaka na mke wangu kuhusu tabia ya kujichua. Mada ilikuwa inahusu mke wangu hapendi kufanya mapenzi, let me dig in nitaweka link hapa hapa.
Sasa katika kuendelea kumfatilia nikawa najinyima usingizi na kuzuga nimelala, siku moja nikiwa nafatilia nakuangalia pirika zote nikiwa mkimya kabisa nisigundulike kama niko macho na niweze kunasa kila kitu nikaanza kuziona pirika, mke wangu akajilaza chali akiwa kajifunika, kwa mkono mmoja akaanza kujichezea nyeti zake. Nakuhakikishia hakuwa akijikuna maana niliona, nilisikia na nilimuumbua nikajikoholesha kikohozi kikavu ajue kabisa nipo macho. Akashtuka na kujirudisha katika hali ya kawaida, mi nikajikausha tukalala.
Kesho yake nikam'bana akaniomba msamaha na kuniahidi hatorudia na kweli hakurudia kwa wakati huo ila juzi hapa ameanza upya kwa ukimya zaid nisijue ila nshaona kila kitu, she's still masturbate!!!
Kwanini naleta kwenu hili?
1. Mke wangu hapendi kufanya mapenzi sana, mashine napiga vizuri kabisa najiuliza kwanini apende kujichua?
2. Sababu ni mimi na je anaweza kuacha tabia hii?
3. Japokuwa kila mtu hupima makosa kwa namna yake nauliza kosa hili linafaa kumuacha?
***Mwisho, hapa tunapeana uzoefu tu kulingana na tatizo, muamuzi nitabaki kuwa mimi so don't panic, don't be emotional wala usitukane.... Jibu kulingana na uelewa wako.
Wasalaam.
Uko sahihi kwa asilimia 60.mwanamke anakupa uchi kwa sababu zote isipo kuwa upendo utapiga24/7 na hafiki, mwanamke akimpemda mwanaume hata kama ni crush akimuona anae mpenda tu chupi inaloa
Wanawake siku hizi ni mitambo haswaa.Alafu user name yako 'msanii' 🤣
kwa Sua ni kibwa hiyo shukuran😂Uko sahihi kwa asilimia 60.
Kwa jinsi ulivyoeoezea hapa nimeamini!Nshawahi kufanya hivi kilichonikuta sasa, mbususu inakuwa imeshalowa sana, imepoa alafu mwanamke anakuwa hana ushirikiano kabisa kama ametoka kutumika. Mkuu tucheke tu hii si nzuri kabisa 😢
Sina pingamizi hakimu mfawidhi 😂😂😂😂Hapana apigwe chini iwe fundisho kwa wote wanaojichua
Viboko vitatu akawaoneshe mashost zake wenye tabia kama hizoSina pingamizi hakimu mfawidhi 😂😂😂😂
Aongezewe na viboko vitatu.
🤝🤝🤝🤝Humuandai mkeo vizuri apate hamu ya mapenzi, au labda wewe mchafu au kuna kitu au tabia yako labda umamuudhi au kuna kitu kinamfanya asivutiwe na wewe, hilo humsababisha asipate uteute au kunyegeka na kupata hamu ya kufanya mapenzi, na akifanya mapenzi bila kupata ashki au kunyegeka ni kama unamchubua na kumuumiza sana, hiyo hupelekea kukuchukia zaidi katika mapenzi…
Kwa tabia yako na uandishi wako hapa naona wewe unakuwa kama Polisi kwa mkeo au ni mtu wa kutoa command yaani police life style unaleta katika maisha ya mapenzi, hapo ushafeli, be soft kwa mkeo, be lovable, attractive kwa maneno, vitendo, usafi, tenderness is the key, take her out mara moja moja, tell her kuwa ni mrembo sana mara nyingi uwezavyo, msifie sana, mwanamke hapo atavutiwa na wewe sana na kunyegeka juu yako.
Acha kabisa kuchunguza kupita kiasi kwa mambo hata madogo, wewe unafikiri kupiga mashine tu ndio labda eti ataridhika, unaweza kukuta ndio unamuumiza zaidi sbb humuandai kisaikolojia na kimwili, sex is the final thing katika love making, ni baada ya ku set kila kitu kikawa sawa na kuwa arosed kisha unafanya sex..
Vijana wa sasa hivi mnaoa tu wala hamjui mwanamke ni kiumbe wa aina gani, shida inaanzia hapo, kama hujaelewa shauri yako.