Nikujibu kama mwanamke kwa faida ya wote. Wanaume wengi tz hawajui kumuandaa mke, wala kumfikisha. Na kwa kauli yako ni wazi unaamini kupiga machine ndo kurudhisha.
Nukuambie tu mwanamke akilojoa mara 2 kwa mwezi hizo siku nyingine ni zako tu. Akishamaliza period kunakuwa na hamu ya tendo, na pia wakati wa ovulation. Na wanawake hatuhitaji machine kubwa, contrary tunahitaji size ndogo to average inayojua kazi. Kama machine ni kubwa you need to be extra gentle usijisifu una machine labda mkeo anaridhika, hell no!
Mfikishe mkeo kwa kuhakikisha amelegea before uingie uwanjani, chezea clitoris, hakikisha huna harufu nbaya mdomoni (zaidi safisha ulimi kila unapopiga mswaki kama unayo itaisha taratibu kama a week hivi or so na kisha endelea kuusafisha kuzuia hali kujirudia), harufu inakata sana steam, unapokuwa juu au zero distance mzigo wote unamnusisha mkeo, inakera sana.
Unapofanya be gentle, unapotumia nguvu unamuumiza, we elewa tu hilo, that area iko sensitive means mchubuko wowote au kumuingil9a kabla hajawa tayari inasababisha damage na ni very painful, that area iko highly sensitive to pleasure and unfortunately to pain as well, hapo orgasm mtaisikia kwa jirani. Ikiwezekana gentle stimulate her clitoris as well during the process, kuna style kama doggyunapata nafasi ya kuishika vizuri while you strike taratibu inapleasure sana.
Focus on her satisfaction not yours maana utamaliza mapema unamwachia maumivu, sad but true. Nilikuwa na janaume before game linajishikashika lenyewe machine isimamame halafu linatarajia miye niwe tayari, how stupid.
Asipofika mwisho miili yetu wanawake imendaliwa kuendeleza pale mlipoishia, mfano hamkufanikiwa usiku mjaribu asubuhi.
Zaidi ya hayo yote usafi wa mwili ni muhimu, anaweza kuwa anakata stimu kwa namna ulivyo labda mikono michafu unataka umshike shike tu vg ni natural opening so uchafu unasababisha miwasho baadae. Pia hakikisha before game umeacha tabia zenu za gubu maneno na masimango anakuwa na jambo moyoni unataka afurahie tendo hell no.
Nina uhakika unachangia sehemu kubwa kama si zote kwa mkeo kujichua ana hisia kali za sex ila yuko na mtu ambaye siyo sahihi. Cheki kama unatekeleza masuala hayo hapo juu, na taratibu mpe nafasi pia aelezee anajisikiaje kushiriki nawe tendo, itachukua muda may be a year or so ila muulize kiaina afunguke si rahisi hasa kwa masuala yanayokuhusu, atakuwa anaogopa kukukwaza. Na ushukuru anajichua mwingine anatafuta nje mpaka ampate anayemtosheleza.
Huyo ni mkeo, taratibu invest katika suala lenu muwe na steamy sessions chumbani. Mtajifunza interests zenu na interval kulingana na mahitaji yenu. Halafu una poor problem solving skill, eti ulipomuuliza akaahidi ataacha, ukajiona umesolve tatizo bila kujua chanzo cha tatizo! Na ukategea vile vile usiku uone kama anafanya, why ujiketishe macho wakati kuna njia honest kabisa mngezitumia kusaidiana kufukia gap lililoko kwemye mahaba yenu? Hope utazingatia hayo yote maana ndiyo majibu ya mtihani wako.