The Industry
Senior Member
- Sep 1, 2012
- 117
- 30
Hahaha itabidi nikutafute tuwe na kipindi cha mapishi pale wasafi tv
Hahaha itabidi nikutafute tuwe na kipindi cha mapishi pale wasafi tv
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia pilipili hii itakusaidia kuongeza ladha, unaweza hata kula mawe ukitumia pilipili hii.Habari wandugu, aisee nahitaji kujua kama hili swala nimeliona peke yangu tu au? maana nimegundua chakula ni kikipasha kwa kutumia microwave ladha inabadilika kabisa, yaani kinakuwa kama kinakosa uhalisia wake hv, nimejaribu hata kula chips zilizopashwa kwa microwave zinakuwa mbaya mno zinakosa ladha kabisa.. Sasa sijui ni mimi tu au ni swala la kawaida..Nisaidieni hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulemaza Watu ww, mwambie apige zoezi la kutosha, ale matunda na anywe maji ya mengi yasiyo ya baridi basi.Tumia pilipili hii itakusaidia kuongeza ladha, unaweza hata kula mawe ukitumia pilipili hii.View attachment 1058152
Acha kulemaza Watu ww, mwambie apige zoezi la kutosha, ale matunda na anywe maji ya mengi yasiyo ya baridi basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mfanyabiashara, changamoto zenu ndio faida yanguAcha kulemaza Watu ww, mwambie apige zoezi la kutosha, ale matunda na anywe maji ya mengi yasiyo ya baridi basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mfanyabiashara, changamoto zenu ndio faida yangu
Unapasha chakula ikiwa ina maana hakijapikwa muda huo, kilipikwa haukula bali ulihifadhi, so lazima kitakuwa kimepoteza uhalisia wake kwa kukaa muda flani hata kama uliweka kwenye friji........sina uhakika kama kupasha kwa microwave kuna effect ya radha.
Na ukikipasha kwenye jiko la mkaa au la kuni haukiui??Microwaving food, in effect, potentially destroys and depletes the life energy, rendering the food completely dead and lifeless. In addition, the food’s nutritional value is lost and it becomes nearly useless in terms of providing any real health benefit.
Hii nimeipata baada ya kuendelea kuhakikisha hili swala... kiukweli msosi unakuwa umekufa kabisa dead food unapoupasha kupitia microwave.. na ladha yote inapotea na hapa na maanisha msosi uliokuwa umepikwa vizur na kuiva vizur... Lakini sometimes mtu unaweza ukaacha chakula then ukakihifadhi ili utumie tena baadae, so ukikipasha fast kwa microwave ndio unakiua kabisaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukikipasha kwenye jiko la mkaa au la kuni haukiui??
Ndio nilisikia mtu anasema maharage yakipikwa kwenye pressure cooker yanakua mabaya mara chakula ukikipika kwenye gesi kinakua kibaya sijui wali ukipika kwenye pressure cooker kinakua kibaya, watasema nyama ikiokwa kwenye oven inakua mbaya, lol
Huo muda wa kuwasha mikaa mnakua nao aiseee.