The Industry
Senior Member
- Sep 1, 2012
- 117
- 30
Habari wandugu, aisee nahitaji kujua kama hili swala nimeliona peke yangu tu au? maana nimegundua chakula ni kikipasha kwa kutumia microwave ladha inabadilika kabisa, yaani kinakuwa kama kinakosa uhalisia wake hv, nimejaribu hata kula chips zilizopashwa kwa microwave zinakuwa mbaya mno zinakosa ladha kabisa.. Sasa sijui ni mimi tu au ni swala la kawaida..Nisaidieni hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app