Nimegundua pia hata Nyama ya Ngamia ni Kharamu...

Nimegundua pia hata Nyama ya Ngamia ni Kharamu...

uislamu hakuna sehemu imesema ule nyama ya nguruwe unapokosa chakula ni uongo mkubwa
Mi nadhani yupo sahihi lakini iwe kweli kuna hali hiyo ya kwamba usipokula basi utapoteza maisha yani kwenye lugha ya kisheria tunasema necessity
 
Back
Top Bottom